Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,599
Jamani yashakuwa hayaaa!!!!Kikubwa uhai tu , hawa ndugu zetu ukitaka kuwafatilia sana utakufa kwa presha tu.
Yap, usisahau na jikoni pia.kumbe!!
jikoni kwa zile shelfu au hizo hizo silingi bodi?Yap, usisahau na jikoni pia.
Ahahahahah shenzeeee weweHao wavivu wapenda kifo cha mende. Kuna wale wapenda doggy wao tutawaachia wadesign malumalu.
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmeziona zile za lodge???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tunaomba mtukome nyie watuView attachment 844255
Sent using Jamii Forums mobile app