Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,618
- 27,596
Jamani yashakuwa hayaaa!!!!Kikubwa uhai tu , hawa ndugu zetu ukitaka kuwafatilia sana utakufa kwa presha tu.
Yap, usisahau na jikoni pia.kumbe!!




jikoni kwa zile shelfu au hizo hizo silingi bodi?Yap, usisahau na jikoni pia.
Ahahahahah shenzeeee weweHao wavivu wapenda kifo cha mende. Kuna wale wapenda doggy wao tutawaachia wadesign malumalu.
Sent using Jamii Forums mobile app