Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 26, 2012 #1 Nyani Ngabu said: Hayo maamuzi msingi wake ni nini? Click to expand... hamisi kishindi..ndo..
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,119 Reaction score 136,866 Mar 26, 2012 #2 Husninyo said: hamisi kishindi..ndo.. Click to expand... Umekula koni wewe leo?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 26, 2012 Thread starter #3 Nyani Ngabu said: Umekula koni wewe leo? Click to expand... hivi kwanin unapenda hayo makitu wewe?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,119 Reaction score 136,866 Mar 26, 2012 #4 Husninyo said: hivi kwanin unapenda hayo makitu wewe? Click to expand... Wewe ndiyo ulisema unapenda.
Husninyo said: hivi kwanin unapenda hayo makitu wewe? Click to expand... Wewe ndiyo ulisema unapenda.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 26, 2012 Thread starter #5 Nyani Ngabu said: Wewe ndiyo ulisema unapenda. Click to expand... mi staki kwanza sijawahi kula hayo makitu.
Nyani Ngabu said: Wewe ndiyo ulisema unapenda. Click to expand... mi staki kwanza sijawahi kula hayo makitu.
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,119 Reaction score 136,866 Mar 26, 2012 #6 Husninyo said: mi staki kwanza sijawahi kula hayo makitu. Click to expand... Juzi ulisema unapenda sana. Kila siku lazima upate dozi mara tatu ukantishia kuila na kuimaliza yangu. Nakuogopa mimi.
Husninyo said: mi staki kwanza sijawahi kula hayo makitu. Click to expand... Juzi ulisema unapenda sana. Kila siku lazima upate dozi mara tatu ukantishia kuila na kuimaliza yangu. Nakuogopa mimi.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 26, 2012 Thread starter #7 Nyani Ngabu said: Juzi ulisema unapenda sana. Kila siku lazima upate dozi mara tatu ukantishia kuila na kuimaliza yangu. Nakuogopa mimi. Click to expand... hahahaha! Nilikuona umefurahi. Lol, mi mwenyewe nakuogopa.
Nyani Ngabu said: Juzi ulisema unapenda sana. Kila siku lazima upate dozi mara tatu ukantishia kuila na kuimaliza yangu. Nakuogopa mimi. Click to expand... hahahaha! Nilikuona umefurahi. Lol, mi mwenyewe nakuogopa.
bht JF-Expert Member Joined May 14, 2009 Posts 10,336 Reaction score 1,880 Mar 26, 2012 #8 Nyani Ngabu said: Juzi ulisema unapenda sana. Kila siku lazima upate dozi mara tatu ukantishia kuila na kuimaliza yangu. Nakuogopa mimi. Click to expand... Husninyo said: hahahaha! Nilikuona umefurahi. Lol, mi mwenyewe nakuogopa. Click to expand... mmeanza tena...ule uzi siku ile mlifanya ukaondolewa
Nyani Ngabu said: Juzi ulisema unapenda sana. Kila siku lazima upate dozi mara tatu ukantishia kuila na kuimaliza yangu. Nakuogopa mimi. Click to expand... Husninyo said: hahahaha! Nilikuona umefurahi. Lol, mi mwenyewe nakuogopa. Click to expand... mmeanza tena...ule uzi siku ile mlifanya ukaondolewa
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,119 Reaction score 136,866 Mar 26, 2012 #9 Husninyo said: hahahaha! Nilikuona umefurahi. Lol, mi mwenyewe nakuogopa. Click to expand... Halafu kwa nini ulinidanganya utanifundisha log mpaka leo holaa?
Husninyo said: hahahaha! Nilikuona umefurahi. Lol, mi mwenyewe nakuogopa. Click to expand... Halafu kwa nini ulinidanganya utanifundisha log mpaka leo holaa?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 26, 2012 Thread starter #10 bht said: mmeanza tena...ule uzi siku ile mlifanya ukaondolewa Click to expand... nyani mchokozi, mi ndio maana siku ile nilikimbia. Leo ameanza tena uchokozi wake. Lol
bht said: mmeanza tena...ule uzi siku ile mlifanya ukaondolewa Click to expand... nyani mchokozi, mi ndio maana siku ile nilikimbia. Leo ameanza tena uchokozi wake. Lol
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 26, 2012 Thread starter #11 Nyani Ngabu said: Halafu kwa nini ulinidanganya utanifundisha log mpaka leo holaa? Click to expand... log nitakufundisha, sema lini una muda. Halafu hesabu za maumbo unazijua wewe? Unaweza kucalculate area ya koni?
Nyani Ngabu said: Halafu kwa nini ulinidanganya utanifundisha log mpaka leo holaa? Click to expand... log nitakufundisha, sema lini una muda. Halafu hesabu za maumbo unazijua wewe? Unaweza kucalculate area ya koni?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,119 Reaction score 136,866 Mar 26, 2012 #12 Husninyo said: log nitakufundisha, sema lini una muda. Halafu hesabu za maumbo unazijua wewe? Unaweza kucalculate area ya koni? Click to expand... Najua sakanferensi.... Unataka kukalukyuleti koni yangu?
Husninyo said: log nitakufundisha, sema lini una muda. Halafu hesabu za maumbo unazijua wewe? Unaweza kucalculate area ya koni? Click to expand... Najua sakanferensi.... Unataka kukalukyuleti koni yangu?
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Mar 26, 2012 #13 Kitty Galore said: Ni kitu gani kitakufanya umuache mwanaume, mbali na kucheat? Majibu yenu yatawasaidia wale wanaopigwa vibuti kila kukicha. Karibuni tujadili Click to expand... akifulia
Kitty Galore said: Ni kitu gani kitakufanya umuache mwanaume, mbali na kucheat? Majibu yenu yatawasaidia wale wanaopigwa vibuti kila kukicha. Karibuni tujadili Click to expand... akifulia
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,119 Reaction score 136,866 Mar 26, 2012 #14 Smile said: akifulia Click to expand... Bado unapenda vitu?
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 26, 2012 Thread starter #15 Nyani Ngabu said: Najua sakanferensi.... Unataka kukalukyuleti koni yangu? Click to expand... hapana, nitakuja na koni ya judgement. Utatumia hiyo kama mfano. Nikishakufundisha utakalkuleti ya kwako mwenyewe. Sawa student?
Nyani Ngabu said: Najua sakanferensi.... Unataka kukalukyuleti koni yangu? Click to expand... hapana, nitakuja na koni ya judgement. Utatumia hiyo kama mfano. Nikishakufundisha utakalkuleti ya kwako mwenyewe. Sawa student?
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,119 Reaction score 136,866 Mar 26, 2012 #16 Husninyo said: hapana, nitakuja na koni ya judgement. Utatumia hiyo kama mfano. Nikishakufundisha utakalkuleti ya kwako mwenyewe. Sawa student? Click to expand... Hapana. Ili nielewe zaidi ni lazima utumie ya kwangu.
Husninyo said: hapana, nitakuja na koni ya judgement. Utatumia hiyo kama mfano. Nikishakufundisha utakalkuleti ya kwako mwenyewe. Sawa student? Click to expand... Hapana. Ili nielewe zaidi ni lazima utumie ya kwangu.
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 26, 2012 Thread starter #17 Nyani Ngabu said: Hapana. Ili nielewe zaidi ni lazima utumie ya kwangu. Click to expand... nikitumia yako utataka niendelee kukuelewesha hata kama umeshaelewa. Lol
Nyani Ngabu said: Hapana. Ili nielewe zaidi ni lazima utumie ya kwangu. Click to expand... nikitumia yako utataka niendelee kukuelewesha hata kama umeshaelewa. Lol
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,119 Reaction score 136,866 Mar 26, 2012 #18 Husninyo said: nikitumia yako utataka niendelee kukuelewesha hata kama umeshaelewa. Lol Click to expand... Ahahahahahaaaa Mwajuma umedata wewe. Tuanze na log basi.
Husninyo said: nikitumia yako utataka niendelee kukuelewesha hata kama umeshaelewa. Lol Click to expand... Ahahahahahaaaa Mwajuma umedata wewe. Tuanze na log basi.
Smile JF-Expert Member Joined Jul 18, 2011 Posts 15,347 Reaction score 11,626 Mar 26, 2012 #19 Nyani Ngabu said: Bado unapenda vitu? Click to expand... nipe uone
Husninyo Platinum Member Joined Oct 24, 2010 Posts 24,167 Reaction score 10,226 Mar 26, 2012 Thread starter #20 Nyani Ngabu said: Ahahahahahaaaa Mwajuma umedata wewe. Tuanze na log basi. Click to expand... hahahaha! Ngoja nitoke, nikirudi tutafundishana log. Uje na vifaa vyote.
Nyani Ngabu said: Ahahahahahaaaa Mwajuma umedata wewe. Tuanze na log basi. Click to expand... hahahaha! Ngoja nitoke, nikirudi tutafundishana log. Uje na vifaa vyote.