Wa wapi wewe ,LUMUMBA street or UFIPA Street.

bachelor sugu

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
2,689
3,641
Jisikie fahari kuishi katika mtaa uliopo hivyo tujulishe na sisi tukufahamu,Usijibane jitokeze kishujaa na tuambie mtaa wako na mwisho tupate mtaa utakaoshinda kwa kuwa na wakazi wengi..

Nikijianzia mimi mwenyewe

UFIPA STREET-Forever.

Wewe je????????
 
Back
Top Bottom