wa tz kwanini tuwe masikini wakati mali tunazo?.

wa tz kwanini tuwe masikini wakati mali tunazo?.

John mungo

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2013
Posts
1,008
Reaction score
1,029
MZUNGU MMOJA MTAFITI ALIWAHI KUSEMA KUWA,LASIRIMALI ZA TZ NI ZAIDI YA UTAJIRI WA U S A KAMA ZITAUZWA.Ndugu zangu swali ambalo wengi sana tunaji uliza pasipo majibu na kila siku hali inakuwa ngumu.Lasirimali zetu zipo kwa ajili gani au nani anasubiliwa ?.
WAHESHIMIWA NALETA MADA MEZANI TUJADILI
 
Lasirimali zetu ndugu zinawasubili mafisadi na wara lushwa wa nchi hii wamarize kuchakachua katiba kasha waanze kuzinadi hizo lasirimali.
 
ni kweli mtoa maoni tanzania ni nchi yenye rasilimali nyingi sana ukilinganisha na nchi nyingine africa na zimetupita kimaendeleo , tanzania inaweza kujengwa na sekta moja tuu ya utalii tuangalie nchi kama ETHIHOPIA uchumi wao mkubwa wanategemea usafirishaji wa anga sasa sisi wabongo tuna mbuga, mlima refu kuliko yote Africa, madini tanzanite , dhahabu, almasi visiwa nk sasa vyote hivi lakini bado, viongozi wetu sio wazalendo kabisa mtu akingia madarakani kitu cha kwanza ataka ajinufaishe yeye binafsi na familia bila kujali uma watanzania wengi wasiojiweza, kulimbikizia madaraka na kujichotea pesa za uma
 
Back
Top Bottom