Wa Tanzania hatumtendei haki Oscar kambona

Moto wa volcano

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2018
Posts
1,617
Reaction score
3,718
Mchachango wa Oscar kambona ktk Taifa letu ni mkubwa sana lakini inastajabisha kuona mtu huyu hakumbukwi kwa lolote lile hakuna hata mradi uliopewa jina lake !? , kwakweli Jasho la huyu mtu kulipigania Taifa hili limedhulumiwa

anamchango mkubwa wa kupigania mfumo wa vyama vingi katika nchi hii na ndio sababu ya kumletea uadui
 
Sisiemu ikishatolewa madarakani kila mzalendo aliyachangia nchi atakumbukwa mkuu, kwa sasa hawawezi kufanya kitu kinachoprove uongo wao na uroho wa madaraka
 
Oscar kambona hakupigania uhuru,yeye na wakristo wengine akiwemo malecela walikua wakifanya kazi serikali ya mkoloni,wakijipanga kuchukua nchi kibaraka mwenzao atakapokabidhiwa
 
Back
Top Bottom