Kweli Kiswahili kigumu,ni kuunganisha maji kwenye nyumbakuvuta maji wapi?????
kwenye chamber au???
acha wivu wa kike fanya kazi na nyie mtatoka, ukiacha uliyoyasema angalia wengi ni wajasiriamali wa nguvu wanawapeleka puta hadi wahindi na waarabu! kariakoo na business kubwa zote wanaziongoza wao!
Machame ni sehemu ya vijiji vilivyo endelea kuliko vijiji vyote Tz. Tuna umeme miaka mingi sana wakati sehemu nyingine ambako ni makao makuu ha wilaya hawajui umeme.! Kati ya matajiri 17 Tz wawili wametoka Machame
Wana maji safi na salama karibia kila nyumba na wale wasiyo na uwezo wakuvuta maji kwenye nyumba zao wametengewa mabomba ya maji ya umma, kila kilomita 50 kuna bomba la umma
Nyumba zao wamejenga kwa mpangilio mzuri utadhani mbezi Beach n`k . Pia hawa watu wamehamasika kielimu sana.Ukiangalia waziri aliye wapatia vyote hivi ni mchaga wa machame.na ndiye aliyekuwa waziri wa kwanza wa elimu
Na wana umaarufu wa kale katabia, usikasahau.
Nimekusoma mkuu..
Kati ya matajiri 17 Tz wawili wametoka Machame
,kila nyumba kumi kuna bomba la maji kwa ajili ya umma na wanalipia kila ndoo sh 20 tu na kuna kiongozi kwa kila bomba na wanadumisha usafi.kila baada ya kilomita 50??? Mbona mbali sana
kumbe tanzania kuna matajiri 17 tu!!!!!
Kumbe TANZANIA KUNA MATAJIRI 17 TU!!!!!