Wa-Libya wameanza mchakato wa uhuru Kamili kwa maandamano, nasi tunakila sababu sasa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wa-Libya wameanza mchakato wa uhuru Kamili kwa maandamano, nasi tunakila sababu sasa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Arafat, Feb 19, 2011.

 1. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #1
  Feb 19, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Askali wa Gadhafi wameuwa raia wengine 15 huko Benghazi na kujerui kadhaa, wakati waandamanaji wakiwa mitaa kudai kungolewa kwa Gadhafi. Inasemekana ndani ya Libra makachero Uchwara wamedhibiti mawasiliano yote ikiwa na mitandao ya internet.

  Gadhafi anatumia nguvu nyingi sana na silaha kali ikiwemo missile kutisha raia wa Libra, kwakutumia kikosi maalum kilicho chini ya mtoto wake Khamis Gadhafi. Mpaka sasa inasema tayari wameuwa watu 84.

  Inawezekana ni nguvu hii ya Umma ambayo ipo ndani ya Jangwa la Sahara ndio imetia hofu watawala wetu na kuanza vitisho mapema, maana kutoka Libya nchni nyingine inayotawaliwa kinyume na matakwa ya raia ni Tanzania.

  Tumeshuhudia kipindi ambacho Serikali ikiwa mikono mwa Wafanyabiashara wachache na kusahau raia, tumeona wakina mama wa vijiji wakiandaliwa bajaji kama ambulance huku wabunge wakilipwa fedha nyingi sana wakati wanafunzi wanaandama na kupigwa kwakukosa fedha za kujikimu.

  Tumeshuhudia weaks ikiweka adharani kuwa Rais ndie anayezuia kesi kubwa za Ufisadi zisiendeshwe dhidi ya rafiki zake. Tumeshangazwa na Rais kutamka hadharani kutowajua wamiliki wa Kampuni tata ya Dowans huku vyombo vya dola vikiwa vimemzunguka. Tumetishwa na hatua ya CCM kuendelea kuwalipa na kuwapa madaraka ya bunge watu walio-ihujumu umma kupitia Richmond na Dowans. na akiwa tayari anajiandaa kuwalipa.

  Tumeshuhudi wezi wa kuku wakifungwa magerezani huku wa akaunti ya EPA wakiambiwa warudishe fedha ili wasamewehe.

  Sasa ni zamu yetu baada ya Libya, Mungu tusaidie Tanzania tumechoka na Utumwa.
   
 2. U

  Uwezo Tunao JF-Expert Member

  #2
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 6,947
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  The most authentic LEGITIMACY TO RULE A COUNTRY alwas rests with the people (nguvu ya umma). Unfortunately very few politicians and financiers of mean ends never realise this truth in life.

  Aother BIG LEADER is soon falling of dictatorial tendencies harboured over time before new level of perfect storm fires turn south. Hakuna wa kuzuia mabadiliko ya kwele hata kwa fedha, janja za nyani za hapa na pale huwezi kitu kuzuia mabadiliko isipokua kwa kuruhusu tu KATIBA MPYA NA TUME HURU YA UCHAGUZI KUPITIA BUNGENI.
   
 3. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #3
  Feb 20, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Natumaini tutaanza soon, maana tuna kila sababu hakuna tofauti ya Tanzania ya leo na Libya wala Egypt
   
Loading...