akaja huyu akasema....Habari zenu wadau. Nina miaka 34, nimesoma nina kazi nzuri, na pia naamini ninavutia kiasi kama mwanamke.
Nimetoka kwenye familia yenye maadili,nimelelewa vizuri sina maskandal yoyote kama wasichana wengine wa mjini nina tabia nzuri nimekuwa na maboyfriend wanne tu maisha yangu yote, sielewi ni kwanini mpaka leo hii hajatokea mwanaume wa kunioa.
Mwingine akajibu ivi...KAULIZE kwenye FORUM ya JAMII FORUM,huko kuna midume imesoma na hawana hata time
ya kutongoza wao siasa tu na maswala ya maendeleo,dada yangu alimpata mmoja na
hivi sasa anapeta london
huyu ndo akaniacha hoi...WANAUME WA JAMII FORUM HAWANA HATA TIME YA KUBADILISHA CHUPI WALA YA
KUCHAMBA.....
:violin:kazi kwelikweli....hahahahaJamii Forum ni VIBAMIA tu vimejazana, na mambo ya alamba sio yao
inanhuuu????????
Source?Hizi Comment nimezikutakwenye blog moja nikabaki nacheka......
Zimeanza ivi...
akaja huyu akasema....
Mwingine akajibu ivi...
huyu ndo akaniacha hoi...
:violin:kazi kwelikweli....hahahaha
Hii ishaletwa hapa na mtu a couple of days ago...
Hapa tuna recycle tu....
Hizi Comment nimezikutakwenye blog moja nikabaki nacheka......
Zimeanza ivi...
akaja huyu akasema....
Mwingine akajibu ivi...
huyu ndo akaniacha hoi...
:violin:kazi kwelikweli....hahahaha
Hizi Comment nimezikutakwenye blog moja nikabaki nacheka......
Zimeanza ivi...
akaja huyu akasema....
Mwingine akajibu ivi...
huyu ndo akaniacha hoi...
:violin:kazi kwelikweli....hahahaha
Kweli mkuu!Ushahidi tosha kuwa hili jukwaa limejaa vichwa vya kazi!
labda kaka zetu mmekuwa wagumu sana wadada za watu wamekuja hapo kama watano hivi hakuna hata mmoja aliyepata hata b.f...nyinyi saasa tu na kampeni...lainikeni basi japo kidogo.Hizi Comment nimezikutakwenye blog moja nikabaki nacheka......
Zimeanza ivi...
akaja huyu akasema....
Mwingine akajibu ivi...
huyu ndo akaniacha hoi...
:violin:kazi kwelikweli....hahahaha
Sio wagumu wala nini, hao wote waliokuja hapa hawapo serious kabisa, na sio sisi eti wagumu!labda kaka zetu mmekuwa wagumu sana wadada za watu wamekuja hapo kama watano hivi hakuna hata mmoja aliyepata hata b.f...nyinyi saasa tu na kampeni...lainikeni basi japo kidogo.
asante kwa taarifa kawambie kuwa huku ndivyo kulivyo, kwa kuwa hatuko kupakana hina hapa,Hizi Comment nimezikutakwenye blog moja nikabaki nacheka......
Zimeanza ivi...
akaja huyu akasema....
Mwingine akajibu ivi...
huyu ndo akaniacha hoi...
:violin:kazi kwelikweli....hahahaha