Mwanamayu
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 11,349
- 6,476
Si ndio maana mkashinda Urais na Igunga?
Dawa yenu ni hii hapa!
[video=youtube_share;DFzsCShW-Xg]http://youtu.be/DFzsCShW-Xg[/video]
Si ndio maana mkashinda Urais na Igunga?
Wayahudi ni kizazi adimu hapa duniani mkuu..
Wayahudi ni kizazi adimu hapa duniani mkuu..
Mkuu, mimi bado nashangaa Mkuu. Maana tukiwapa hesabu ya UTATU, wanasema haiwezekani. Lakini hii leo wamekuja na kubwa yake ETI Moja (1) = 1027. Aiseeehhhh. Allah must be great.
Mkuu mambo mengine hadi utakaswe akili ndipo utayaelewa! Usiwashangae wahurumie na kuwaombea.. Na pi tutambue tu kuwa miungu wana tufauti na MUNGU tunayemwabudu! halafu majini yakiighilibu akili ya mtu yanamharibia mtazamo kabisa, black anaiona white na white anaiona black. Hata maandishi yanatoka kushoto kuja kulia!. Ilimradi tu mambo vululuvululu!
Ukinunua nyanya mbovu GUNIA MOJA KWA T/SHILINGI 200,Je ni sawa na aliyenunua NYANYA NZIMA FUNGU MOJA LENYE NYANYA 5 KWA T/SHILINGI 200?. The later ataweza kwenda kuungia mboga wewe utaenda kuzitupa shimo la taka. Ndivyo wa Israel walivyo -think!.
Askari wa Israel are well trained angalia hata operation zao walizofanya ulimwenguni kote ni za mafanikio makubwa na kwa upande mwingine waweza sema ni za kiajabu-ajabu mfano vita vya siku sita vya Mashariki ya kati Kati ya Waarabu na Isarael,na 90 minutes at Entebe airport pia wana uwezo wa kuwa-target magaidi popote walipo,kwa maneno mengine Jeshi la israel lina Mkono mrefu wa kuweza kuwafikia mahasimu wake popote walikojificha.
Hii ndiyo inayowafanya wawe na dhamani sana hata katika vita vya 1967 walifuata ratio hiyo kubadirishana wafungwa wa kivita na waarabu.
chukulia: Steve Jobs ni sawasawa na WATANZANIA wngapi!?
.............. hawana muda wa kufikiri hawa, ndio maana wanaamini " Mungu alikula mikate na samaki"...hapo hapo usiondoke, mimi nimekuwa nashangaa kama uwezo wa Wa-Israel ndo huo, kwanini walishindikwa kumpata huyo askari huko alikokua amefichwa? Kumbuka kuwa amefichwa na Hamas kwa miaka kama mitano hivi (tangu 2006 kama sikosei)!!
mkuu umemdhalilisha vasco da gamasawa na marais wote wa africa...