Wa Israil wabadilishana na Wa Palaestina Wafungwa Mwi Israil Mmoja WaPalestin 1027

185453_215532015162082_116443395070945_583161_4290288_n.jpg
 
Naona ktk hili Wapelastina na Arab ndiyo wameshinda zaidi. Kwa sababu, kama unakumbuka speech ya Obama kwamba Zion State itakuwa isolate zaidi kama haitoweza kutatua matatizo na jirani zake haswa ktk kipindi hichi cha Arab Spring.

Obama alipotoa hii speech alilaumiwa sana na Wayahudi kwa kuwatosa haswa pale Netanyahu alipoanza kubishana na Obama. Lakini hapa tunaona mshindi mwingine ni Obama; kwa sababu maneno aliyoyasema ni ya kweli.

Zion State imegundua kwamba Arab Spring imeleta chuki zaidi kwao, haswa pale walipoona Egypt walipofanya maandamano ya kupinga mauaji ya Wanajeshi wao, also pia mateso ya Wapelestina. Uhasama mwingine waliuona pale walipoona Turkey inazidi kuwa na siasa kali dhidi ya Israel.

Zion State wamegundua maneno ya Obama; kwamba wameanza kuwa Isolate in Mid East.

Hii yote waliyofanya kuhusu kubadilisha mwanajeshi ni Strategic plan ya kurudisha uhusiano mzuri na jirani zake na Arab States kama vile Egypt, Turkey, nk.

Goal yao si mwanajeshi kurudishwa; bali ni Urafiki na Arab States.

Natanyahu kagundua kwamba sera zake za ubabe zimepitwa na wakati. Kaamua kumsikiliza Obama, ili Zion State isiwe ISOLATE.
 
Hizo ni ndoto za mchana Israel haitishwi na Arabs states na Obama Kama unavyodai katika kila Move wanayofanya mpaka wao waamue.
Kwa hili la wafungwa ni sawa kabisa kwa maana they are precious soldiers. Hata kwenye vita vya 1967 idadi ilikuwa Kama hiyo hiyo
Hata maiti ya askari Rod Arad ilirudishwa kwa mania ya Wapalestina hii inadhibitisha Value ya Askari wa Israel
 
Back
Top Bottom