Wa enzi hizi jitokezeni tukumbushane mengi

Wa enzi hizi jitokezeni tukumbushane mengi

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1421091093762.jpg Mtunzi ni Shafi Adam Shafi
 
Watoto wa Mama Ntilie: hiki kitabu kilinitoa machozi brodha,
kingine ni hiba ya wivu, kusadikika
 
Kiningine ni KIU YA HAKI.Na nikiiangalia nchi yangu inavyoenda na nikifananisha na hiyo riwaya naona kabisa wa2 walioko selikarini walivyokuwa hawana hata chembe ya ku2pa haki ye2.
 
Yeah KIU YA HAKI, HIBA YA WIVU ,KUSADIKIKA na kuna NGOSWE
 
Dah, huo mzigo unanikumbusha mbali sana, Rashidi ni mhusika mkuu humo,
 
Siku hizi hatuna watunzi bali tuna wazushi na hadithi zao nyingi hazina uhalisia
 
MWALIMU MKUU WA WATU. natamani kila mtanzania angekuwa amebahatika kukisoma kitabu hicho, mafisadi wasingeiba hivi wanavyoiba leo.
 
1.Juma na Roza
2.Ngoswe...A Lihamba
3.Kuli..Adam Shafi
4.Makuwadi wa soko huria..prof Seth Chachage.
 
Mmmh mwenzenu vitabu vya shule nshavisahau vyote vya kiswahili mana hilo somo lilikuwa tatizo sana.....
 
Siku hizi hatuna watunzi bali tuna wazushi na hadithi zao nyingi hazina uhalisia

Mkuu ukisema hivyo kuna wachache sana utakuwa hujawatendea haki! Kwa mfano Hussein Tuwa naye utamuweka katika kundi hilo la wazushi?
 
Mkuu ukisema hivyo kuna wachache sana utakuwa hujawatendea haki! Kwa mfano Hussein Tuwa naye utamuweka katika kundi hilo la wazushi?

Nimefanya makosa ku generalise naomba aniwie radhi,
 
Back
Top Bottom