Wa busha kidogo antoe roho

Wa busha kidogo antoe roho

benteke

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
1,305
Reaction score
1,069
Jumamosi nikasema Benteke wacha niache mkokoteni wangu ofisini niende kigamboni nikapumzike kidogo maana foleni zinachosha, huyooo mpaka posta, nikarukia UDA, lilikua limejaa ,niliingilia mlango wa nyuma nikashika bomba,... kaja mtu mwingine nyuma yangu na mbele kulikua kuna mdada.Uda limeanza mwendo naona mbona kama kuna ubnormal contact huku nyuma,nikasema labdahisia tu, kufika pale bunge nikasema hapana this is not normal, kwashida nikacheki kiupande, yalaaaa, busha. kumcheki jamaa usoni ni mtu mzima alafu ananitabasamia, sikufikiria mara mbili nikasema konda shuuushaaa, konda kajibu hamnakituo mpaka feri. Dada wa mbele naye kajibenua kiuno anazidi kunikandamizia kwa mzee wa busha, nikasema leo Benteke nimeliwa na hivi kikoi hakina zipu mbona nimeumbuka. Nikamnongoneza yule dada "dada lainika kidogo " dada akanijibu NINI? nikamnong'oneza"huyu mzee nyuma yangu ataniuaaa" dada naona hanielei, ikanidi nimteneknye kiuno akaruka, basi nikapumua. Nimefika fery nimeshuka mbio, si nikajikuta niko huku Utumishi badala ya kule pa kupakilia boti, nikasema wacha nirudi geto nikalale maana nimekoswakoswa kwenye UDA sio dalili nzuri kabisaaa.
 
Hujuenjoy lile joto la busha? Una matatizo wewe.....

hahahaha, ***** utanivunja mbavu asee, DUME huyo wewe afurahie joto la busha makalioni?!!!...hahahahahhaa
Eti ndugu benteke ulijiskiaje huko nyuma lilivokuwa linakugusa busha? maana mbele yako kuna tentemente ya mdada anakugusishia maksudi we huitaki unataka busha la nyuma tu!...yallah!
 
Last edited by a moderator:

Yaani umtekenye mdada halafu akuache tu... Aaagghhfff wapi... umetnga bana
 
hahahaha, ***** utanivunja mbavu asee, DUME huyo wewe afurahie joto la busha makalioni?!!!...hahahahahhaa
Eti ndugu benteke ulijiskiaje huko nyuma lilivokuwa linakugusa busha? maana mbele yako kuna tentemente ya mdada anakugusishia maksudi we huitaki unataka busha la nyuma tu!...yallah!
Sa mbona anajieleza kama wa kike....
 
Unaweza kutueleza busha lilikuwa lina ukubwa kiasi gani.!?Hali yake ya joto je?Itatusaidia kutathimini umepata madhara kiasi gani
 
mie kuna katoto ka sekondari kalikua nyuma yangu nageuka nikajua nakutana

na mtu mzima mwenzangu katoto kana hila kale

Vipi kalikua kamejaaliwa au kana busha, kwa kweli wacha watu wakope magari maana hizi dadalala zinamambo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom