Hawa akina annunaki na biblia pamoja na quran zibaki kuwa stori za ngano tu!.๐๐๐Story juu ya Binadamu chanzo chake ni nyingi sana ajabu hakuna yenye uthibitisho!, hii maana yake wakati binadamu anafanyika hakuwa na ufahamu mzuri kama alionao hivi sasa!, lakini laiti kwa miaka yote iliyopita inayotajwa kama binadamu angekuwa na uwezo wakunakili mambo ya wakati huo kama alionao sasa basi tungekuwa walau tunaijua robo ya historia iliyo halisi na kweli!.. sasahivi tujikaze kwenye tafiti tu mambo yatajipembua baadae huko!.
Hawa akina annunaki na biblia pamoja na quran zibaki kuwa stori za ngano tu!.
Chogo:๐ฝ๐ฝVichwa mchongoko.. Sio vya SGR lakini vile tulivyopigwa๐
Hehe!Hawa akina annunaki na biblia pamoja na quran zibaki kuwa stori za ngano tu!.๐๐๐
Maarifa ya mtu yanapokuwa kimo cha mbilikimo๐๐๐ฟ๐๐ฟ๐๐ฟ
Wazungu waongo sana ; unaweza shangaa miaka 2000 huko mbeleni Bill Gates naye akaitwa anunaki baada ya kugundua Microsoft .Hizo ngano lengo lake ni kudunisha utukufu na uhodari wa mtu mweusi aliyeratibu na kutekeleza ujenzi wa hizo pyramids.