W/end iliyopita uliangalia movie gani?

"The Replacement Killers" na new episodes za Vampire Diaries season 3.....what an awesome weekend
 
nipo nachek documentary inaitwa murder in kinshasa baada ya hapo nitacheki the burma boy
 
kutwa nieshinda naangalia mapilau ya cherokee dass

Hah hah haaah Cherokee Bata, na lile Bundes alilojaliwa anakunya kama hana akili nzuri.

Sasa ukute anapiga game na Mr Marcus au na Delvin Wead....utamtaka
 
Kitty, hutojutia kuiangalia hii Colombiana.

Mark my words, ni zaidi ya action movie haswa kama wewe ni mtoto wa kike.

Asante mkuu nilifuata ushauri wako. Nilitafuta na nimeiangalia. Hiyo movie ni nzuri sana. Kila mtu anaependa movie kama hajaiona namshauri aitafute
 
Assassination Games
Kill The Irishman (Hii huwa hainiishii hamu ya kuiangalia)
Jumping The Broom (Hii nayo huwa naioniishii hamu ya kuangalia)
Wall Street Money Never Sleeps
Repeaters
The Hit List (Hii naikubali Sana Cuba Gooding Jr amecheza vizuri sana)
 
Hii nimeangalia zaidi ya mara tatu!
 
Assassination Games
Kill The Irishman (Hii huwa hainiishii hamu ya kuiangalia)
Jumping The Broom (Hii nayo huwa naioniishii hamu ya kuangalia)
Wall Street Money Never Sleeps
Repeaters
The Hit List (Hii naikubali Sana Cuba Gooding Jr amecheza vizuri sana)

Dogo, naona tangu upajue kwangu tunaanza igizana hadi vitu unavovikuta kwa my CD case?...lols..

Apo ongezea, Wrong Turn (Horror movied indeed, ukiichek hii huwez kula, sijaipenda though n nzur kama ww ni mpz wa muvi za kutisha), pia kuna Perfume (The story of a murderer, hii ukimaliza kuichek unaweza acha kutumia perfume kama nilivyofanya mm) na ya mwisho ni Italian Job (siichok kuiangalia, of course naiba maujanja, lf sucks, nataka na mm nikapige $ pale BOT (msini-quote, lols) n a due course)
 
Kama umependa Rango, nadhani utapenda Rio, Alvin and the Chipmunks, Marmaduke, The Smurfs etc

Rio- you have to love that big, beautiful blue bird...
Alvin & the Chipmunks - Sauti zao tu siwezi kusahau..
oohhhhh what is cuter than the Smurfs..?
Nikipata bahati ya kuwa na mbwa kama Marmaduke ntafurahi kweli
na yule paka anaesema "I'm not an animal" lol..
 
Dogo, naona tangu upajue kwangu tunaanza igizana hadi vitu unavovikuta kwa my CD case?...lols..

Apo ongezea, Wrong Turn (Horror movied indeed, ukiichek hii huwez kula, sijaipenda though n nzur kama ww ni mpz wa muvi za kutisha), pia kuna Perfume (The story of a murderer, hii ukimaliza kuichek unaweza acha kutumia perfume kama nilivyofanya mm) na ya mwisho ni Italian Job (siichok kuiangalia, of course naiba maujanja, lf sucks, nataka na mm nikapige $ pale BOT (msini-quote, lols) n a due course)
Hahahaha!! Hommie umepotea sana maeneo yetu...aisee italian job naikubali sana ngoja niitafute tena niicheki
 
Rio- you have to love that big, beautiful blue bird...
Alvin & the Chipmunks - Sauti zao tu siwezi kusahau..
oohhhhh what is cuter than the Smurfs..?
Nikipata bahati ya kuwa na mbwa kama Marmaduke ntafurahi kweli
na yule paka anaesema "I'm not an animal" lol..
Ongeza Hop, Paul na Yogi Bear you'll love them
 
Back
Top Bottom