Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,921
- 4,235
Dah.Tatizo sipendi actions na vampires....na ndio muvi nyingi zipo hivo
Ongeza Hop, Paul na Yogi Bear you'll love them
Assassination Games
Kill The Irishman (Hii huwa hainiishii hamu ya kuiangalia)
Jumping The Broom (Hii nayo huwa naioniishii hamu ya kuangalia)
Wall Street Money Never Sleeps
Repeaters
The Hit List (Hii naikubali Sana Cuba Gooding Jr amecheza vizuri sana)
Dah.Tatizo sipendi actions na vampires....na ndio muvi nyingi zipo hivo
njema.haya nambie muvi za malovee na maisha.....kama desperate housewiveshabari yako binafsi......
njema.haya nambie muvi za malovee na maisha.....kama desperate housewives
Wiki iliyopita nilifanya kosa kuanza kuangalia the hangover part 2
Inabidi week end hii niangalie ile yakwamza
Yap free like a bird...lolAre you free tonight ???
Hahaha....zote nimeziangalia hizo umesahau pia Friends With Benefits pia Bridesmaid inachekesha sana.ha ha h......hebu jaribu Crazy, Stupid love, Hall pass na Change up......hizi ni kwa sasa....
Hahaha....zote nimeziangalia hizo umesahau pia Friends With Benefits pia Bridesmaid inachekesha sana.
Hahahaha!! Hommie umepotea sana maeneo yetu...aisee italian job naikubali sana ngoja niitafute tena niicheki
Niko nje kdg kaka, nadhan next week narud, hopeful ijuma tutakua pamoja 'palepale', just make sure, RR na Mwj1 bila kumsahau Babu wanakuwepo ili nisiboreke.
BTW
My fav actor kiukwel n Denzel, kuna muvi ka act yaitwa Antwone Fisher, nishaitafuta sanaa kwa libraries bila mafanikio, niliiona once, and for sure ni moja ya muvi ambazo zilinivutia sana, i wish niione tena, kama kuna mtu anayo au anajua wapi nitaipata, tafadhali, msaada tutani.
Thanks.
Antwone Fisher (film) - Wikipedia, the free encyclopedia
Mkuu nimeiona hii movie imetuli sna, ukipita mitaa ya jamaa wanao uza movie collection za mchina ukiwaambia nataka collection ya denzel lazima utaipata hapo, ninayo sema watoto wamekwangua cd haionyeshi tena
For me the best part ni pale kijana alipokuwa mkaidi kujibu, basi akampa ratiba ya kuja kumkanseli lakini akiingia hamuulizi kitu anaendelea na shughuli zake, ilibidi dogo aongee tu