Vyura waliopelekwa Marekani walonga

mansakankanmusa

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
4,161
Reaction score
802
Mna uhakika hawo ndio wale vyura waliochukuliwa kutoka kwetu??


wasije wakawa wametilurejeshea makanyaboya!!!

Nadhani tusikilize milio yao.

vyura wa marekani lazima watalia kimarekani yo yo yo yo
 
Utashangaa vipaumbele vya serikali yetu tukufu!
 
Hahahahahaaaaa hahahahahaaaaa hahahahahaaaaa hahahahahaaaaa nilipoangalia nikacheka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…