Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini boys na girls lifestyles zao zinabadilikia vyuoni,jinsi ya kuongea,mavazi tabia na swaga nyinginezo????????????
ndo comment hiyo imetolewa jombaaa inabidi uwe flexible sio unategemea tu kusikia kile unachotaka...ndo uhuru wa kutoa maoni..huo..so positive or negative u just deal with it dont let emotions run u over....kaaaa humooooo....ova....Kama topic haijakufurahisha acha usicomment,mbona kuna watu wameelewa na kuicomment acha majungu usijione uko perfect sana kuliko wenzako,hii ni jamii forum kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake..........heshimu mawazo ya watu na uwe mstaarabu
Ona huyu naye!! sasa hii ni mada kweli? Kama huna cha kuandika, nyamaza kimya.Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini boys na girls lifestyles zao zinabadilikia vyuoni,jinsi ya kuongea,mavazi tabia na swaga nyinginezo????????????
Umeona eeh!!Siyo mood ni mod.
mood hebu tuondolee huu uchafu hapa, unatujazia server bure.
Umeona eeh!!
Hii ndo shida ya mtu kuandika/kuzungumza LUGHA za watu bila kujua maana zake...
Teeh teeh :becky:
Kama neno "Beep" Wachache wanalijua hili ndo neno sahihi, unapokuwa unamhadharisha mtu!