vyuoni kuna mambooooooooo

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini boys na girls lifestyles zao zinabadilikia vyuoni,jinsi ya kuongea,mavazi tabia na swaga nyinginezo????????????
 
Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini boys na girls lifestyles zao zinabadilikia vyuoni,jinsi ya kuongea,mavazi tabia na swaga nyinginezo????????????

Mimi sijui. Nikupe mji?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hivi ushawahi kujiuliza
kwa nini boys na girls lifestyles zao zinabadilikia vyuoni,jinsi ya
kuongea,mavazi tabia na swaga nyinginezo????????????

ukipitia chuo huwez jiuliza, nendako upige buku utapata jb
 
Mi nilijua unatuletea picha ya majogoo ya chuoni!!
 
topic zingine aisee...kama mtoto anajifunza kuongea! hazieleweki.
 
Ukisoma heading utajua ni ya kisekondri.
Waulize uliowaona hivyo
 
wabongo bwana tatizo liko wapi toa maoni yako ndio mpango sasa topic inahusu nini,acheni kashfa kama huwezi jibu acha usicomment tuache majungu huuu ni mwaka mpya jamani
 
wabongo bwana tatizo liko wapi toa maoni yako ndio mpango sasa topic inahusu nini,acheni kashfa kama huwezi jibu acha usicomment tuache majungu huuu ni mwaka mpya jamani

we ndo unaleta majungu hapa, mavazi, swaga na maisha ya mtu yanakuhusu nini wewe!!!
yani huo muda unaopoteza kuchunguza maisha ya watu bora ukagegede!!!
 
Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini boys na girls lifestyles zao zinabadilikia vyuoni,jinsi ya kuongea,mavazi tabia na swaga nyinginezo????????????

mabadiliko baina ya watu/jamii ni kitu cha lazima,kama umefika chuo kikuu lazima u-act kama mtu wa chuo kikuu,lazima uonekane utofauti baina ya mtu wa chuo kikuu nawa kada/level nyingine ya elimu....binafsi nimebase ktk +ve changes though sijajua ulikua unazungumzia mabadiliko gani hasa.
 
Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini boys na girls lifestyles zao zinabadilikia vyuoni,jinsi ya kuongea,mavazi tabia na swaga nyinginezo????????????
kumbe na wewe umeeenda na kusoma chuo...enh.....?wengine hatujaenda so hatujui....bhana.....
 
Kama topic haijakufurahisha acha usicomment,mbona kuna watu wameelewa na kuicomment acha majungu usijione uko perfect sana kuliko wenzako,hii ni jamii forum kila mtu ana haki ya kutoa maoni yake..........heshimu mawazo ya watu na uwe mstaarabu
 
Hivi ushawahi kujiuliza kwa nini boys na girls lifestyles zao zinabadilikia vyuoni,jinsi ya kuongea,mavazi tabia na swaga nyinginezo????????????

Ulimbukeni tu hakuna jipya!
Kwanini ubadilike ukishaingia chuo? Kwani kabla ya hapo ulikuwa unaogea aje, wavaaje? Kuingia chuo kikuu ni hatua mojawapo ktk kuongeza uelewa wako ktk maswala mbali mbali na pia stadi za kazi na sio sehemu ya kujifunzia usharo.., na usista du!
 
aisee huo ni ukweli kabisaaa usistaduu unazidi kwa kina dadaa ,brazamen unazid kwakina kaka yaani dah kuongea sasa utachoka, ila yoteyayote ngoja mimi nipigemsuli tuu ubrazamen nawaachia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…