Hakuna Chuo hapo tena na Ni Takataka na Upuuzi Mtupu na Kwa Hakikisho Zaidi Nenda NACTE na MCT Uone Malalamiko Lukuki Ya Hicho Chuo Utashangaa na Kimebaki Jina Tu Japo Kimetoa Waandishi wa Habari Mahiri ila Ni Huko Nyuma Lakini Kwa Miaka Miwili Iliyopita Chuo Tajwa Hapo Juu Kimeshuka Hadhi na Kinatia Aibu na Walimu Wake Kutwa Wako ktk Migomo na Mgogoro na Mmiliki Wake na Hata Mishahara Yenyewe Wanalipwa Kwa Matatizo na Habari Nilizozipata ni Kwamba Kimekimbiwa na Walimu Wake Mahiri na Wenye Vipaji na Wito Kama Mwalimu Yusto Santipa, Mwalimu Frank Kimota Mtaalam wa Tv Production, Mwalimu Victor Msambusi Mtaalam Wa Communication Skills na Media Management na Mwalimu Patrice Marwa Mtaalam Wa News Writing, Radio Broadcasting na Public Relations. Walimu Waliopo Hawana Ujuzi Wala Uzoefu na Wanafundisha Kisanii Sanii tu Kwa Mfano Kuna Mmoja Nasikia Akifundisha Ana Google ktk Simu Yake Kisha Ndipo Anawaandikia Ubaoni....................... Kazi Ipo!!!!!!!! Na Matatizo Ya DSJ Ndiyo hayo hayo Ya Chuo chao Hasimu na Jirani Cha TSJ, Royal, Daystar na Kile Cha Msanii na Mtoto wa Mjini Mziray Kiitwacho DACICO. Kama Upo Serious Unataka Kwenda ktk Competent Journalism College Nakushauri Nenda Chuo Cha A3 Otherwise Ukienda Hivyo Vingine UTASOMESH Na ndio chuo pekee kilichopata cheti cha kusomesha fani hiyo kutoka MCT mara baada ya ukaguzi, lakini vyuo tajwa hapo juu vyote havikukidhi vigezo na hatimae MCT ilivipa muda vyuo hivyo kutimiza vigezo tagu mwisho wa mwaka jana otherwise vitazuiliwa kutoa huduma ya habari. A3 ndio mpango mzima.