Vyuo vya Uandishi wa Habari - DSM

ndugu zangu mimi kama mwanataaluma halisi wa tasnia hii,plz nenda SAUT sasa kipo kila mkoa,ila ukiweza nenda mwanza au ni PM nikupatie ushauri zaidi.
 
DSJ,Royal mwaka Jana wamepewa mda wajirekebishe vingnevyo watanyangwa accreditation. Kama una matokeo ya form 4 nenda sjmc
 
Take it From Me Hakuna Chuo bora ktk Hivyo Tajwa bali Kama Unataka Kusoma na Kupata Ujuzi wa Kutosha basi Nenda Chuo cha A3 Kipo Karibu na Jengo La Umoja wa Vijana. Zingatia Sana Ushauri Wangu Huo Kwani Nina Uhakika na Nilichokisema. Aisifiae Mvua........................................ Ujue Imemnyeshea Kazi Kwako. Kuna Principle wa Chuo Kimoja Tajwa hapo Yeye Masaa Yote Ofisini Utamkuta Yupo tu Facebook na Kupiga tu Simu Kwa Watoto wa Kike na Kuwatongoza, Kulala Nao na Kuwapa Marks za Bure na Kutoa Vyeti Vya Kimagumashi na Hana Ubunifu wa Kukiboresha Chuo.

Ni kweli mkuu kuna kingine msg morogoro school of journalism ndio usiseme now days majangaa hata usipoingia darasani unacheti fresh kabisa
 
Hakuna Chuo hapo tena na Ni Takataka na Upuuzi Mtupu na Kwa Hakikisho Zaidi Nenda NACTE na MCT Uone Malalamiko Lukuki Ya Hicho Chuo Utashangaa na Kimebaki Jina Tu Japo Kimetoa Waandishi wa Habari Mahiri ila Ni Huko Nyuma Lakini Kwa Miaka Miwili Iliyopita Chuo Tajwa Hapo Juu Kimeshuka Hadhi na Kinatia Aibu na Walimu Wake Kutwa Wako ktk Migomo na Mgogoro na Mmiliki Wake na Hata Mishahara Yenyewe Wanalipwa Kwa Matatizo na Habari Nilizozipata ni Kwamba Kimekimbiwa na Walimu Wake Mahiri na Wenye Vipaji na Wito Kama Mwalimu Yusto Santipa, Mwalimu Frank Kimota Mtaalam wa Tv Production, Mwalimu Victor Msambusi Mtaalam Wa Communication Skills na Media Management na Mwalimu Patrice Marwa Mtaalam Wa News Writing, Radio Broadcasting na Public Relations. Walimu Waliopo Hawana Ujuzi Wala Uzoefu na Wanafundisha Kisanii Sanii tu Kwa Mfano Kuna Mmoja Nasikia Akifundisha Ana Google ktk Simu Yake Kisha Ndipo Anawaandikia Ubaoni....................... Kazi Ipo!!!!!!!! Na Matatizo Ya DSJ Ndiyo hayo hayo Ya Chuo chao Hasimu na Jirani Cha TSJ, Royal, Daystar na Kile Cha Msanii na Mtoto wa Mjini Mziray Kiitwacho DACICO. Kama Upo Serious Unataka Kwenda ktk Competent Journalism College Nakushauri Nenda Chuo Cha A3 Otherwise Ukienda Hivyo Vingine UTASOMESH Na ndio chuo pekee kilichopata cheti cha kusomesha fani hiyo kutoka MCT mara baada ya ukaguzi, lakini vyuo tajwa hapo juu vyote havikukidhi vigezo na hatimae MCT ilivipa muda vyuo hivyo kutimiza vigezo tagu mwisho wa mwaka jana otherwise vitazuiliwa kutoa huduma ya habari. A3 ndio mpango mzima.

inaonekana upo deep kwenye suala la shule za masomo ya habari na mawasiliano, nazani mtoa mada akuone wewe kwa msaada zaidi.
 
But walishajirekebisha cuz walpewa mda wa miez 2 tokea mwaka jana mwez wa 7 so mpaka nw wapo vzr tu msiwatishe wanaotaka kuingia katk tasnia ya habar umuhimu n kupata kaz nasio chuo waweza pata chuo kizur lakn chet kikariwa na panya kabatini
 
Hbr hiyo maada nzuri saana! Maana mm nilipoteza pesa zangu Na muda wangu bure, nilikuwa nasoma Chuo cha Tanzania education college, kilikuwepo kimara bucha ,saivi kimehamishiwa kimara temboni, huko mafichoni, hakika vyuo vyetu hapa Tz n magumashi Na hakuna hatua stahiki zilizochukuliwa Na viongozi
 
Hivi kusoma diploma ya uandishi habari inachukua muda gani na ada ni shs ngapi ? A3 and Saut , out ?
 
Take it From Me Hakuna Chuo bora ktk Hivyo Tajwa bali Kama Unataka Kusoma na Kupata Ujuzi wa Kutosha basi Nenda Chuo cha A3 Kipo Karibu na Jengo La Umoja wa Vijana. Zingatia Sana Ushauri Wangu Huo Kwani Nina Uhakika na Nilichokisema. Aisifiae Mvua........................................ Ujue Imemnyeshea Kazi Kwako. Kuna Principle wa Chuo Kimoja Tajwa hapo Yeye Masaa Yote Ofisini Utamkuta Yupo tu Facebook na Kupiga tu Simu Kwa Watoto wa Kike na Kuwatongoza, Kulala Nao na Kuwapa Marks za Bure na Kutoa Vyeti Vya Kimagumashi na Hana Ubunifu wa Kukiboresha Chuo.
Mkuu, uliandika hayo miaka takriban 5 iliyopita. Nimekifuatilia chuo ulichotaja nikaona pale wamehama. nawafuatilia. Ila unaamini bado wana hiyo standard uliyosema?
 
Hakuna Chuo hapo tena na Ni Takataka na Upuuzi Mtupu na Kwa Hakikisho Zaidi Nenda NACTE na MCT Uone Malalamiko Lukuki Ya Hicho Chuo Utashangaa na Kimebaki Jina Tu Japo Kimetoa Waandishi wa Habari Mahiri ila Ni Huko Nyuma Lakini Kwa Miaka Miwili Iliyopita Chuo Tajwa Hapo Juu Kimeshuka Hadhi na Kinatia Aibu na Walimu Wake Kutwa Wako ktk Migomo na Mgogoro na Mmiliki Wake na Hata Mishahara Yenyewe Wanalipwa Kwa Matatizo na Habari Nilizozipata ni Kwamba Kimekimbiwa na Walimu Wake Mahiri na Wenye Vipaji na Wito Kama Mwalimu Yusto Santipa, Mwalimu Frank Kimota Mtaalam wa Tv Production, Mwalimu Victor Msambusi Mtaalam Wa Communication Skills na Media Management na Mwalimu Patrice Marwa Mtaalam Wa News Writing, Radio Broadcasting na Public Relations. Walimu Waliopo Hawana Ujuzi Wala Uzoefu na Wanafundisha Kisanii Sanii tu Kwa Mfano Kuna Mmoja Nasikia Akifundisha Ana Google ktk Simu Yake Kisha Ndipo Anawaandikia Ubaoni....................... Kazi Ipo!!!!!!!! Na Matatizo Ya DSJ Ndiyo hayo hayo Ya Chuo chao Hasimu na Jirani Cha TSJ, Royal, Daystar na Kile Cha Msanii na Mtoto wa Mjini Mziray Kiitwacho DACICO. Kama Upo Serious Unataka Kwenda ktk Competent Journalism College Nakushauri Nenda Chuo Cha A3 Otherwise Ukienda Hivyo Vingine UTASOMESHWA tu ila HUTAFUNDISHIKA. Kazi Kwako!
Mziray he is gone.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom