Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,914
- Thread starter
- #141
Jaribu kutuloza akili na kutafakari kile mtu anachoandika. Nimeona uhalali wa kujadili mada coz hata Mimi sikujua kuwa vyuo vyetu havitoi shahada ya sheria, na ulikuwa na haki ya kuleta mada hii ili kupata ufahamu. Tatizo linakuja pale unapokuja kwa dhumuni la kukebehi na kuchokonoa zaidi ya kutaka kujua, huku ukilazimisha majibu unayohitaji ujibiwe. Unapewa links usome lakini bado unahitaji ligi kwa kuhoji what seems pretty obvious.
Hiyo ndio sababu ya mimi kuhoji na si linginw
Kwenye post yako sio tu uliona inawezekana jambo hilo likawa la kweli bali uliona kutokuwepo kwa somo hili ni kitu cha kushangaza na ulishangaa
Nimesema na ninasema kuwa baada ya kugundua kuwa ni kweli kuna vyuo vinafundisha imeonekana havina muda mrefu tangu vianze kufanya hivyo,sasa ni kitu gani kilikuwa kinafanya somo hilo lisiwepo kabla?
Na kitu gani kimefanya somo hilo limewekwa sasa?
Nimekebehi wapi?
Nimechokonoa wapi/nini?
Nimelazimisha wapi majibu?