Vyuo vya kilimo ni lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyuo vya kilimo ni lini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Asu tz, Mar 12, 2012.

 1. Asu tz

  Asu tz JF-Expert Member

  #1
  Mar 12, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Habr wana JF. Jaman kama kuna anayefahamu kuhusu post za vyuo vya kilimo 2juzane kwan mpaka sasa cjui zinatoka lini or zimekwisha toka. Mwenye ufahamu na hili naomba msaada wake na pia kama kuna anayefahamu vyuo vya kilimo vilipo 2juzane.
   
 2. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #2
  Mar 13, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Chuo cha ukiriguru mwanza wameisha toa App' form
   
 3. Asu tz

  Asu tz JF-Expert Member

  #3
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Dah ngoja niende wizaran pale nikachek ma4m
  Per 1 mzaz.
   
 4. Zuia Sayayi

  Zuia Sayayi JF-Expert Member

  #4
  Mar 15, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 834
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  utanipa feedback kama wizara imeshatoa Nafasi za masomo.!
  Au utani email kwenye
  fredysayayi@gmail.com
   
 5. Asu tz

  Asu tz JF-Expert Member

  #5
  Mar 15, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Usijal j3 nitakuja na mzigo kamil
  Kama vp nikisahau nikumbushe kwny hii.
  asu.tz89@gmail.com
   
 6. Asu tz

  Asu tz JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 316
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 45
  Maombi bado hayajatoka ila wamesema watatangaza kwny website zao mwanzon mwa mwez wa 4.
  Sifa ni zile zile kwa 'O'LEVER uwe umefaulu masomo ya sayans na uwe na 4 ya point 28.
  Kwa 'A' LEVER uwe umefaulu masomo ya PCB.
   
Loading...