Msaada jamani, nilikuwa nataka kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Computer Science kwa hapa bongo katika chuo chochote kinacho tambulika lakini elimu yangu ni kidato cha NNe je kuna sehemu yoyote ya kuanzia kama zilivyo course nyingine mpaka uanzie Diploama? Natanguliza shukrani sana
sikufaulu kivile nina division 2
ndio ila nimechoka kusoma kama mnyororo ivyo nataka niache kusoma A level
Guyz hivi kama una certificate ya IT je kunauwezekano wa kwenda kuingia Diploma ya computer science
Usisome tu CS kwasabu umevutiwa/kutamani mana unaezaishia kama baadhi ya kaka zetu hawa walio na degree zao za St. Joseph with 3.6 or more na wako kitaa.
Lakini sio kwasabu jamaa wako kitaa ndo usisome, just open your mind bob go go go get some advice from yo parents in any other way.
i was just saying no any man to roll his waist in front of this.
inaelekea mtu akitoka st.joseph una muona kilaza.....hehehe
Usisome tu CS kwasabu umevutiwa/kutamani mana unaezaishia kama baadhi ya kaka zetu hawa walio na degree zao za St. Joseph with 3.6 or more na wako kitaa.
Lakini sio kwasabu jamaa wako kitaa ndo usisome, just open your mind bob go go go get some advice from yo parents in any other way.
i was just saying no any man to roll his waist in front of this.
Nimesema baadhi, kama unajua kusoma utakuwa umeona.
Ndomana nikamalizia kwamba i was just sayin sitaki mtu akatie viuno kwenye ile post, mana nilijua watakuja kama wewe.
i don't care about your personal University mana i will judge you by what you say and think.
Usisome tu CS kwasabu umevutiwa/kutamani mana unaezaishia kama baadhi ya kaka zetu hawa walio na degree zao za St. Joseph with 3.6 or more na wako kitaa.
Lakini sio kwasabu jamaa wako kitaa ndo usisome, just open your mind bob go go go get some advice from yo parents in any other way.
i was just saying no any man to roll his waist in front of this.
basi bro nimeamua kwanza nimalizane na a level ndio nijishughulishe na CS
ila kwani kuna tofauti gani kati ya
IT
CS
IS
Computer subject au Computer Science as subject!!!???Computer Science inawigo mpana sana,ndani yake kuna aspects kama Communications and Networks,Computer Programing, Alogarithms and Data Structures, Automata, AI, Mathematical logic, Operating Systems(indeep), Software Engineering, Computer Maintainance.......Kama alivo sema Snipa,sio yakukurupukia tu,na secret behind it nikwamba inabidii uwe unainterest kubwa sana!Sidhani kama Hao loyola wanafundisha "Computer Science", nakama wanafundisha basi nikaintroduction kadogo sana,huwezi kucompare na ukienda kusoma Diploma!Kasome A-level shule inayofundisha Computer Science kama optional subject kama una huo uwezo e.g. Loyola.
Msaada jamani, nilikuwa nataka kuuliza kama kuna uwezekano wa kusoma Computer Science kwa hapa bongo katika chuo chochote kinacho tambulika lakini elimu yangu ni kidato cha nne. Je, kuna sehemu yoyote ya kuanzia kama zilivyo course nyingine mpaka uanzie Diploma?
Natanguliza shukrani sana
Computer subject au Computer Science as subject!!!???Computer Science inawigo mpana sana,ndani yake kuna aspects kama Communications and Networks,Computer Programing, Alogarithms and Data Structures, Automata, AI, Mathematical logic, Operating Systems(indeep), Software Engineering, Computer Maintainance.......Kama alivo sema Snipa,sio yakukurupukia tu,na secret behind it nikwamba inabidii uwe unainterest kubwa sana!Sidhani kama Hao loyola wanafundisha "Computer Science", nakama wanafundisha basi nikaintroduction kadogo sana,huwezi kucompare na ukienda kusoma Diploma!