NACTE has to do more supervision than that!Kada ya utabibu ngazi ya stashahada ni bomu linalosubri kulipuka asee. Vyuo binafsi vinafanya biashara tu hakuna cha zaidi.
Napata mashaka na uwezo ya NACTE katika usimamizi wa elimu ngazi ya stashada.
Uko sawa kabisa, vyuo kama hivyo ni kivitaja!unachokisema ni kweli kabisa kuna chuo kimoja kipo eneo moja la dar et kinatoa kozi ya pre medicine na nursing one year course kozi ambazo kwa ufahamu wangu kozi hizo haziko kwenye mfumo wa nacte sasa wasi wasi wangu ni kuwa mpaka watoto wa masikini wa tanzania wanaingizwa mjini je necta wako wapi ,vyuo hivi vya binafsi kuna ujanja ujanja sana na wizi utapeli mkubwa waziri anaye husika afuatilie jambo hili ili kuokoa jamii nzima maana kuna hatari mbelen