Vyuo vya afya

Salehe.ally93

New Member
Nov 17, 2012
4
0
Jamani naomba munifahamishe matokeo ya wanaochaguliwa na kujiunga na vyuo vya afya huwa yanatoka awamu mbili ama?
 

Chiya Chibi

JF-Expert Member
Jul 6, 2011
484
195
Unachaguliwa kutoka wap na unakwenda certificate, Diploma, degree.? Kitengo gan, Nurse, Maabara, Daktar, Pharmacy? Utaratibu huo ulikuwepo lakin sina uhakika kwa sasa kwasababu wenye sifa na wanao2ma maombi ni wengi sana kuliko zamani ambapo vyuo vililazimika kuchagua kwa mara ya pili ili kuziba nafas. Labda kwa degree utaratibu huo unaweza ukawa bado upo, kumbuka sio lazima ufanyike kama idadi imetosheleza..!!
 

Mrimi

JF-Expert Member
Jul 18, 2011
1,690
2,000
Kama ni vyuo hivi vya kawaida(exclude Universities) mwaka huu walikuwa orodha ya majina ya reserve na wenyewe wanajua.So kama ni kuhitaji nyongeza,wanafanya kupick majina kutoka kwenye orodha yao kisha wanawaita wahusika; kwa hiyo kama mtu hayupo kwenye orodha hiyo,ni basi tena.Ajipange tu kwa ajili ya mwakani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom