Vyuo vya afya vya private wakuu

Ushauri dogo ana
Biology B
Chemistry C
Physics C
Ila hesabu ana F
Je anaweza pata chance kusoma diploma za afya

Kweli anaweza kupata na kitu cha muhimu ingia website ya NACTE halafu fungua icon ya GUIDEBOOK AND SELECTION hapo utapata vyuo vya serikali na Private, location... pamoja na ada zake, kuwa mwangalifu kwani kuna vingine vimefungiwa na utaviona kwenye website hiyohiyo!
 
Sawa mkuu kwan kizuri ni kip?
Kilicho sajiliwa?
 
Sawa mkuu kwan kizuri ni kip?
Kilicho sajiliwa?

Ukifungua hiyo website ya NACTE utapata taarifa zote muhimu kwa kila chuo then wewe utachagua unachopenda na kufanya maombi online au kuwaandikia chuo husika
 
Habari yako.. karibu KAMPALA INTERNATIONAL UNIVERSITY.. DAR ES SALAAM COLLEGE... MIMI NI AGENT WA CHUO HIKO.

KUNA KOZI ZA AFYA, HUMANITIES PAMOJA NA BIASHARA KUANZIA NGAZI YA CERTIFICATE MPAKA MASTERS eligibility ni kulingana na vigezo vilivyowekwa na TCU kwa undergraduate na NACTE kwa Diploma & certificate.

0719568659 kwa mawasiliano zaidi.
Hamna kitu hapo KIU
 
Back
Top Bottom