STUKA M1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 7,407
- 6,990
Ilonga ni chuo kikubwa tu.. Mwambie aombe fasta maana maombi yameshaanzaYeye yupo Morogoro.
Nilisikia Ilonga pia ni moja kati ya vyuo vikubwa vya kilimo,sasa napenda kujiridhisha ili nisimpoteze ninapomshauri kuhusu chuo bora ili akatimize malengo