Vyuo vipi ni bora kwa kilimo?

Fredrick Mmari

Senior Member
Jul 8, 2013
144
37
Habari wana jamvi
Nauliza vyuo gani bora kwa kozi za kilimo kwa mwanafunzi anayetaka kusoma certificate ya general agriculture?

Pia namna gani rahisi ya kupata ufadhili wa serikali ukiangalia kwa sasa mfumo wa NACTE umebadilishwa na wanafunzi kutakiwa kuomba moja kwa moja chuo husika?

Ufaulu wa binti huyo ni kama ifuatavyo

CIVICS C
HIST C
GEOG C
KISW C
ENGL C
CHEM C
BIOS C
MATHS D
PHY F

Ana division 2.21 kamaliza 2016
 
College of agriculture and natural resources you can check its details on website
 
Mkuu nilikuwa quality assurance officer chuo fulan mbeya ,,dealing with agriculture and natural resources,ko najua haya mambo,
The best institutes ni zile zenye research sites nearby,mfano uyole is the best in tanzania,
Nenda pale kachukue form ya application,those academic grades are qualified to be enrolled,
 
Kweli mkuu kama kile cha Mtwara kina reseach site palepale
 
MATIs Uyole na Mtwara vipo vizuri sana mkuu, Uyole kuna mshikaji wangu anasoma pale, So ananiambia chuo kipo fresh kinyama..
Omba mkuu kati ya hivyo.
Hakuna chuo kama uyole,ila kwa anaetaka kusoma,
Isitoshe many employers from either private sector or NGO seek recommendation or conduct interview right there,when are in need to recruit some one
 
Habari wana jamvi
Nauliza vyuo gani bora kwa kozi za kilimo kwa mwanafunzi anayetaka kusoma certificate ya general agriculture?

Pia namna gani rahisi ya kupata ufadhili wa serikali ukiangalia kwa sasa mfumo wa NACTE umebadilishwa na wanafunzi kutakiwa kuomba moja kwa moja chuo husika?

Ufaulu wa binti huyo ni kama ifuatavyo

CIVICS C
HIST C
GEOG C
KISW C
ENGL C
CHEM C
BIOS C
MATHS D
PHY F

Ana division 2.21 kamaliza 2016
Yaan kwa ufaulu huu atachukuliwa faster
 
Nwambie akasome elimu ya juu anatafta chuo cha kili na hzi mvua za mgao wakulima xa hiv wanahama hiyo sekta atakuja amcmamie nan
 
Mkuu nilikuwa quality assurance officer chuo fulan mbeya ,,dealing with agriculture and natural resources,ko najua haya mambo,
The best institutes ni zile zenye research sites nearby,mfano uyole is the best in tanzania,
Nenda pale kachukue form ya application,those academic grades are qualified to be enrolled,
Ahsante kwa ufafanuzi kiongozi.

Vipi kuhusu Ilonga?
Bado kina sifa nzuri?

Mf.Uyole kiwe no.1,Ilonga unaweza kukipa no.ngapi kwa ubora Wa vyuo vya kilimo sasa?
 
Nwambie akasome elimu ya juu anatafta chuo cha kili na hzi mvua za mgao wakulima xa hiv wanahama hiyo sekta atakuja amcmamie nan
Kila mtu ana malengo yake.
Kufeli kwa wengine sio kufeli kwake na kamwe Elimu bora aifatwi kwa mkumbo
 
Hicho sikijui fresh, ila kama upo Dar itakuwa fresh sana kupiga msuli hapo, kwa maana ni karibu
Yeye yupo Morogoro.
Nilisikia Ilonga pia ni moja kati ya vyuo vikubwa vya kilimo,sasa napenda kujiridhisha ili nisimpoteze ninapomshauri kuhusu chuo bora ili akatimize malengo
 
Back
Top Bottom