Sa we ulitaka tz itambulike kwa elimu gan ilyopo nchin,elimu ka ya udom,udsm,sua au cjui ifm na iaa unaweza ukairnganisha na vyuo ka MIT,Havard,cambridge na oxford kweli..
Mkuu uandishi wako huwa unanimaliza maana utafikiri ni ngonjera au shairi au gospel song etc. Anyways ushauri wa bure rekebisha kidogo maana maandishi ya namna hii yanachukua nafasi kubwa pasipo sababu. Back to the topic. Very true vyuo vya Tz havitambuliki kwa sababu vingi ya hivyo vyuo havina viwango toshelezi. Waalimu hawaeleweki, vyuo vipo uchochoroni ni vurugu tupu. Kila chuo cha ufundi bongo siku hizi ni chuo kikuu unategemea nini? Do we real have qualified teachers to teach au wababaishaji ilimradi mkono uende kinywani?Kuorodhesha vyuo vikuu
kulingana na umaarufu ni
desturi inayokua kwa kasi sana
katika sekta ya elimu ya juu.
Orodha hiyo, inayojumuisha
vyuo vikuu vilivyo maarufu
zaidi duniani, ina walakini
kwani bara zima halimo.
Hutapata hata chuo kimoja
kutoka bara la Afrika kwenye
orodha hiyo.
Vyuo vikuu vilivyoorodheshwa
ni vya Marekani, Ulaya na
baadhi kutoka China na Korea
Kusini huku Afrika ikiwa
imesahaulika.
mkuu uandishi wako huwa unanimaliza maana utafikiri ni ngonjera au shairi au gospel song etc. Anyways ushauri wa bure rekebisha kidogo maana maandishi ya namna hii yanachukua nafasi kubwa pasipo sababu. Back to the topic. Very true vyuo vya tz havitambuliki kwa sababu vingi ya hivyo vyuo havina viwango toshelezi. Waalimu hawaeleweki, vyuo vipo uchochoroni ni vurugu tupu. Kila chuo cha ufundi bongo siku hizi ni chuo kikuu unategemea nini? Do we real have qualified teachers to teach au wababaishaji ilimradi mkono uende kinywani?
Kuwa mstaarabu kidogo. I think neno 'si kweli' would have worked better kuliko. Heshima ni kitu cha bure.muongo
Wanaoorodhesha ni kina nani? Wanatumia vigezo gani?
Kuwa mstaarabu kidogo. I think neno 'si kweli' would have worked better kuliko. Heshima ni kitu cha bure.
Naomba uthibitishe usemi wako. Taja hata chuo kimoja tu ambacho kinatambulika kimataifa.
Nadhani kufahamishana na kuelimishana ni jambo la msingi na sio lugha ya kejeli na matusi.Mimi kwa ufahamu naona vyuo vyetu vilikuwa vinafanya vizuri hapo nyuma na si sasa.pakawa usiwe na mawazo mgando! Unayo degree ya chuo gani? Unafahamu maana ya kutambulika kimataifa? Tofautisha kati ya ranking na kutambulika. Udsm na sua wanazo international codes zinazofanya vitambulike, na sio zile list za vyuo unazoona kama unavyoangalia msimamo wa ligi.
Kuorodhesha vyuo vikuu
kulingana na umaarufu ni
desturi inayokua kwa kasi sana
katika sekta ya elimu ya juu.
Orodha hiyo, inayojumuisha
vyuo vikuu vilivyo maarufu
zaidi duniani, ina walakini
kwani bara zima halimo.
Hutapata hata chuo kimoja
kutoka bara la Afrika kwenye
orodha hiyo.
Vyuo vikuu vilivyoorodheshwa
ni vya Marekani, Ulaya na
baadhi kutoka China na Korea
Kusini huku Afrika ikiwa
imesahaulika.
Sio kweli mkuu kwan mbona katika World rank ya vyuo vikuu wanaviweka na vile vya africa?Kuorodhesha vyuo vikuu
kulingana na umaarufu ni
desturi inayokua kwa kasi sana
katika sekta ya elimu ya juu.
Orodha hiyo, inayojumuisha
vyuo vikuu vilivyo maarufu
zaidi duniani, ina walakini
kwani bara zima halimo.
Hutapata hata chuo kimoja
kutoka bara la Afrika kwenye
orodha hiyo.
Vyuo vikuu vilivyoorodheshwa
ni vya Marekani, Ulaya na
baadhi kutoka China na Korea
Kusini huku Afrika ikiwa
imesahaulika.
Sio kweli mkuu kwan mbona katika World rank ya vyuo vikuu wanaviweka na vile vya africa?
Mfano hapa Tz: UdsmWorld Rank ni ya 3415,SUA 10061,OUT 8048,Mzumbe 11028,IFM 8504 nk.
source: Top Universities in Tanzania, United Republic of 2011 - Top Study Links
hyo rank ni ya kichina,ina maana IFM iko juu ya Sua na mzumbe kweli?siamini
Nadhani kufahamishana na kuelimishana ni jambo la msingi na sio lugha ya kejeli na matusi.Mimi kwa ufahamu naona vyuo vyetu vilikuwa vinafanya vizuri hapo nyuma na si sasa.
hivi kunatofauti gani
kati ya bachelor of
science in computer
science na bachelor of science with computer
science? ? ? Na ipi ndo
ipo fresh?
Wewe dogo tumekuchoka,ile post ya "senetor" umeuliza swali kama hilo na hapa nako hivyo hivyo,ebu pumzika mchana usiku ukamuke,si unaujua mziki wa pc-kunani!!vipi modern physics ushamaliza yote???tuition wapi?mtiga?muddy?mtata?mwarami?
Mwake mwake man! Yah modern physics nishamaliza ila sijamalizia ELECTRONICS Nipo kwenye LOGIC GATES,
Mtata na mwarami wanafundisha hesabu man! We ulisoma mzumbe sec au unasoma MU ? Siyo siri huu mziki wa PC- kunani nomaaa... Ukitaka kuperfom fresh lazima usome Mambo kibao! Sijui hadi chuo ndio hv hv? ? ? ?