Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,627
- 164,715
Yes ni kweli hili aiseeSerikali ina mpango wa kukagua vyuo vikuu vyote nchi na vile ambavyo vitakuwa havina sifa vitafungwa mara moja.
Taarifa hiyo imetolewa na waziri wa Elimu,Prof.Ndalichako ambae amesema vyuo vingi havina sifa licha ya vyuo hivyo kupewa ithibati.
Prof.Ndalichako amesema inatakiwa angalau asilimia 50 ya walimu wa chuko kikuu kimoja wawe na shahada ya uzamivu(Phd) na kwamba haitakiwi mwalimu mwenye shahada ya kwanza kufundisha wanafunzi wa shahada ya kwanza.
Prof.ameongeza kuwa,uwepo wa vyuo vingi visivyo na sifa kunapelekea uwepo wa vijana wengi wasio na ajira
Chanzo:Nipashe
Prof.kaeleza mengi ambayo ninahakika yakifanyiwa kazi,vyuo vingi vitafungwa na itakuwa majanga makubwa.
Vyuo vingi vitafungwa hasa kwa kigezo cha walimu wenye sifa maana wengi wanaofundisha vyuo vikuu wana degree moja na wenye shahada za uzamivu ambao ndio wanatakiwa wewe angalau nusu ya walimu wote katika chuo kimoja ni wa kuhesabu kwenye vyuo vingi.Yes ni kweli hili aisee
hicho kigezo cha nusu ya waalimu kuwa na phd ni too high .hata hivyo vyuo huanzishwa baada ya kusajiliwa na mamlaka husika.tusifurahie kuvifunga bali kuvitaka vizingatie viwango.Vyuo vingi vitafungwa hasa kwa kigezo cha walimu wenye sifa maana wengi wanaofundisha vyuo vikuu wana degree moja na wenye shahada za uzamivu ambao ndio wanatakiwa wewe angalau nusu ya walimu wote katika chuo kimoja ni wa kuhesabu kwenye vyuo vingi.
...hiyo issue wahusika ni TCU sio hivyo vyuo..Prof. Ndalichako naomba atazame pia kwenye suala kudahili yaani unakuta mtu kapata E E S alafu yupo chuo kikuu anachukua Education na anapata mkopo kama kawaida. Kiukweli hivi vyuo vikuu uchwara vimekuwa kimbilio la watu wenye ufahulu hafifu na kibaya zaidi wanakimbilia kwenye kozi za education ili wapate mikopo.
Prof. Ndalichako naomba atazame pia kwenye suala kudahili yaani unakuta mtu kapata E E S alafu yupo chuo kikuu anachukua Education na anapata mkopo kama kawaida. Kiukweli hivi vyuo vikuu uchwara vimekuwa kimbilio la watu wenye ufahulu hafifu na kibaya zaidi wanakimbilia kwenye kozi za education ili wapate mikopo.
[/QUOTE
Principal pass mbili hiyo ni sifa ya kimataifa kwa mtu kujiunga chuo kikuu ingawa concern yako ni ya msingi pia.
Siasa ilitumika kwasababu za kisiasa.Nahisi TCU ni jipu
Hili la Phd nafikiri halitekelezekiPhd ilivyo ngumu hivyo, Waziri atasubiri sana
Si useme SAUT.Kuna chuo kimoja cha prvt, kina matawi mikoa mingi, walimu wake nao ni tatizo,