hapo kwenye red umenikumbusha Bashite.Saut, mzumbe, cbe, ifm, bugando,.. Kuna maliasili sijui jina, kipo pansiansi,fisheries nyegezi...vingine watasema wadau
ESAMI (Nyakahoja)hapo kwenye red umenikumbusha Bashite.
Nenda TCU watakupatai list yoteWanazuoni naomba orodha ya vyuo vikuu vilivyopo jijini Mwanza. Nafanya study hiyo ni sehemu ya data ninazozihitaji!
Sent from my TV
Wanazuoni naomba orodha ya vyuo vikuu vilivyopo jijini Mwanza. Nafanya study hiyo ni sehemu ya data ninazozihitaji!
ESAMI (Nyakahoja)
Jaribu kucheki kitabu cha TCUNingekuwa Dar ningeshafanya hivyo
Sent from my TV
Majibu yako yako hapaWanazuoni naomba orodha ya vyuo vikuu vilivyopo jijini Mwanza. Nafanya study hiyo ni sehemu ya data ninazozihitaji!
Sent from my TV
Mzee unajua maana ya vyuo vikuu kweli?Saut, mzumbe, cbe, ifm, bugando,.. Kuna maliasili sijui jina, kipo pansiansi,fisheries nyegezi...vingine watasema wadau
Mkuu tulia kwanza, kuwa mpole alafu kula mtori taratibu nyama ziko chini...Saut, mzumbe, cbe, ifm, bugando,.. Kuna maliasili sijui jina, kipo pansiansi,fisheries nyegezi...vingine watasema wadau