Vyuo vikuu nchini haviwatendei haki wasabato??

Kasomeko

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
599
Reaction score
1,139
Habari wana jamii!

Zikiwa zimebaki siku chache tu kabla ya kufanyika kwa mahafari ya kuhitimu chuo kikuu, nina sikitika kuona kwamba rafiki zangu wengi wasabato hawachangamki kabisa.

Jana tumetoka kulipia majoho lakini nikashangaa kuona rafiki zangu wasabato hawalipii (siowote) na sababu kubwa ya kutolipia ni kwamba sherehe hiyo ya kuhitimu chuo inafanyika siku ya jumamosi ambayo ni siku yao ya kuabudu.

Idadi kubwa ya vyuo vikuu nchini hapa hufanya sherehe hizi siku ya jumamosi hivyo kuwanyima nafasi ya kushiriki ndg zetu hawa wasabato.

Na ninyi wasabato mje hapa mtuambie ubaya wa kushiriki siku ya jumamosi maana kwa mtizamo wangu siku hiyo hufanyi kazi ni sawa na kupumzika kabisa huku ukifrahia kujumuika na wenzako.

Karibuni tueleweshane.
 
Pia haviwatendei haki Waislamu kwa kuendelea na shughuli zake kama kawaida siku za Ijumaa??

Tume ya uchaguzi pia haiwatendei haki wakristo kwa kufanya uchaguzi siku za Jumapili?

Kwahiyo Serikali pia haitutendei haki wanandoa maana tulipaswa tupumzike siku ya Jumatatu??
 
Kuna siku moja chuo lecture wetu, ijumaa ratiba yake inakuwa tight sababu ana vipindi viwili alafu ostazi, akapanga test Jumamosi Wasabato wakalalamika sana. Jamaa kwa kuwa mpole akatunga mitihani miwili, mmoja Jumamosi, mwengine Ijumaa. Sasa huo mtihani wa Ijumaa ulikuwa wa motoo akawambia, ukiona mtihani mgumu njoo Jumamosi, ufanye na wenzio wakanyanyuka mmoja mmoja, Jumamosi tukafanya nao test. Tokea siku hiyo heshima na adabu.
 
Tukiendekeza hivi basi kila mtu hata tendewa haki
 
Ahsante
 
Inaitwa komoa nikukomoe
 
Hahaha kwaiyo sabato ikageuka siku ya mtihani
 
Baba ume maliza kila kitu
 
Mkuu akili zako unazijua mweyewe.Nimecheka sana HADI nimepiga ishara ya msalaba.
 
Hahahah Huyo lecturer ni konki sana ana hekima kama za mfalme suleiman akaona atumie mbinu za kiintelejensia kuwakomesha

#DG
 
Usipende kututakana wenzako mzee watu wanaiman zao so kuwambia wenzako nimakalio bt endelea kuomba uzma
 
Kweli ndugu yangu
 
Ibad
Ibada ni shughuli takatifu sio rahisi kuacha ku attend huduma takatifu kwa sababu ya sherehe tu bora ingekuwa msiba
 
Mungu akusamehe Hujui ulisemalo
 
Land ww itakua umemuelewa vibaya coz ametumia neno matako tena sio ivo amesama vijisabato so kama unaona ww umemuelewa vzr bc nijambo zur mzee baba
Itakuwa simu yake inatype vibaya.Kama weye ulivyotype.Ila kama kaandika hivyo nimemkemea pepo limtoke mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…