MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 16,058
- 40,625
upuuzi ni tabia ya kupuuzia mambo ambayo mimi sina, wewe si mtu mwerevu unashindwa kutumia maneno sahii wakati unatunga sentesi yako. Hiii pamoja na majadiliano unayoyafanya inaonyesha kwa kiasi gani baada ya kukaa darasani haukuelimika, tatizo ni hivyo vyuo ulivyosoma na aina ya elimu uliyopataUcngekua mpuuzi kiasi hicho kama ungekua umesoma hivyo vyuo. Me sihangaikii chuo changu kiwe bora africa wala mtaani kwetu nahangaikia mimi niwe bora leo kuliko nilivyokua jana hatakama ntasoma chuo cha msakatongee, maana ubora wa chuo hauna maana kwangu kama mimi nitatoka na upuuzi nilioingianao ( ambao naamini wewe bado unao).
Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana ndugu yangu. Hivi unafahamu kama ujinga na upuuzi ni generational? The less you know the less ur kids and their kids will know. Kwahyo u have to learn for yourself and your generation. Huo ujinga wakung'ang'ania title ya chuo ulichosoma haukusaidii na utaangamiza kizazi chako. And for the record, me nmeishia for 4 bhanaa, ila am glad I didn't make it to college b'se it looks like I could end up being a fool like u( sijui elimu gani hizo mnasoma..!!! ). Dunia inamengi sana yakujifunza mbali na yale yaliyopo Harvard ama Cambridge au massachusets. Be smart, I know you can.upuuzi ni tabia ya kupuuzia mambo ambayo mimi sina, wewe si mtu mwerevu unashindwa kutumia maneno sahii wakati unatunga sentesi yako. Hiii pamoja na majadiliano unayoyafanya inaonyesha kwa kiasi gani baada ya kukaa darasani haukuelimika, tatizo ni hivyo vyuo ulivyosoma na aina ya elimu uliyopata
Hapo chini umemaliza vibaya2018 League Table of the top 200 Universities in Africa
Rank University Country
1University of KwaZulu-Natalza
2University of Pretoriaza
3University of the Witwatersrandza
4University of Cape Townza
5University of Johannesburgza
6North-West Universityza
7Universiteit Stellenboschza
8University of Nairobike
9University of the Western Capeza
10Cairo Universityeg
11Rhodes Universityza
12The American University in Cairoeg
13Universiteit van die Vrystaatza
14Universidade Católica de Angolaao
15University of Ibadanng
16Cape Peninsula University of Technologyza
17Nelson Mandela Universityza
18Tshwane University of Technologyza
19University of Fort Hareza
20University of Nigeriang
Yaani elimu yetu ni shida tupu ni aibu ata kuendelea, alafu bado kuna watu wanasema wamesoma vyuo hapa TANZANIA
NON ACADEMICView attachment 845643wewe ileye danganya Umma taarifa kamili hiyo hapo
Sent using Jamii Forums mobile app
Fact
Elimu ya Chuo Kikuu ni moja ya malengo ya wanafunzi wengi shuleni ambayo pia huhesabiwa kama moja ya kilele muhimu cha safari ya kielimu. Nchini Tanzania elimu imeganyika katika mtindo wa elimu ya awali, ya msingi, ya sekondari na ya chuo. Katika ngazi ya chuo nako kumegawanyika kwani vipi vyuo ambavyo hutoa vyeti na diploma na vipo vile ambavyo hutoa shahada (digrii). Hapa chini tumekuwekea orodha ya vyuo vikuu bora nchini Tanzania vinavyotoa shahada. Orodha hii imezingatia pamoja na mambo mengine idadi ya tafiti ambazo chuo hufanya kwa mwaka, uwiano wa mwalimu kwa wanafunzi, machapisho (publications), heshima katika majukwaa ya elimu ya kimataifa pamoja na mambo mengine. Orodha hii ni kama ifuatavyo.
Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)
Hiki kiko jijini Dar Es Salaam na ndicho chuo kikongwe zaidi nchini. Kilianzishwa mwaka 1970.
2. Chuo Kikuu cha Kilimo cha Sokoine (SUA)
Chuo hiki kiko mkoani Morogoro na kilianzishwa mwaka 1984. Kinatoa elimu hasa katika mambo ya tafiti za kilimo, chakula, mifugo na teknolojia katika mambo hayo.
3. Chuo Kikuu cha Mzumbe (MU)
Kama ilivyo kwa SUA, hiki nacho kinapatikana mkoani Morogoro. Awali kilifahamika kama IDM-Mzumbe lakini kikapanda ngazi na kuwa chuo kikuu mwaka 2001. Kina matawi katika maeneo mbalimbali nchini.
4. Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM)
Chuo hiki kinapatikana Jijini Dodoma na kilianzishwa mwaka 2007. Kama ilivyo kwa UDSM, SUA na MU, vyuo hivi vyote vinamilikiwa na serikali.
5. Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi Muhimbili (MUHAS)
Chuo hiki nacho ni mali ya serikali, kinapatikana jijini Dar Es Salaam na kilianzishwa mwaka 1963.
6. Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU)
Chuo hiki kinapatikana jijini Dar Es Salaam. Kinamilikiwa na serikali na kilianzishwa mwaka 2007.
7. Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Nelson Mandela (NM-AIST)
Chuo hiki kilianzishwa mwaka 2010, kiko jijini Arusha. Kinamilikiwa na serikali.
8. Chuo cha Kumbukumbu ya Hubert Kairuki (HKMU)
Hiki kilianzishwa mwaka 1997, zamani kikiitwa Mikocheni International University. Umiliki wake ni binafsi na kinatoa hasa elimu ya tiba katika kuanzia stashahada hadi shahada ya uzamili.
9. Chuo Kikuu cha Tumaini (TU)
Hiki kinamilikiwa na Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) na kilianzishwa mwaka 2007. Kinapatikana mtaa wa Ikungi Jijini Dar Es Salaam. Kina matawi katika maeneo mbalimbali nchini.
10. Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustino Tanzania (SAUT)
Chuo hiki kinamilikiwa na Kanisa Katoliki Tanzania. Kinapatikana mkoani Mwanza lakini pia kina matawi katika maeneo mbalimbali nchini. Kilianzishwa mwaka 2002.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo kwa SAUT umechemsha!!!! Haiwezekani SAUT iwe bora kuzidi CUHAS almaarufu kama chuo cha tiba Bugando.Elimu ya Chuo Kikuu ni moja ya malengo ya wanafunzi wengi shuleni ambayo pia huhesabiwa kama moja ya kilele muhimu cha safari ya kielimu. Nchini Tanzania elimu imeganyika katika mtindo wa elimu ya awali, ya msingi, ya sekondari na ya chuo. Katika ngazi ya chuo nako kumegawanyika kwani vipi vyuo ambavyo hutoa vyeti na diploma na vipo vile ambavyo hutoa shahada (digrii). Hapa chini tumekuwekea orodha ya vyuo vikuu bora nchini Tanzania vinavyotoa shahada. Orodha hii imezingatia pamoja na mambo mengine idadi ya tafiti ambazo chuo hufanya kwa mwaka, uwiano wa mwalimu kwa wanafunzi, machapisho (publications), heshima katika majukwaa ya elimu ya kimataifa pamoja na mambo mengine. Orodha hii ni kama ifuatavyo.