Vyuo vikuu bora Tanzania

Mkuu ma Prof na ma Dr wako si unawaona wanayoyafanya? hii list iko kwenye utaratibu.
 
Mkuu, hiyo list imewekwa kwa kutumia vigezo ambavyo vyuo vyetu havina
Mimi sina tatzo na hyo list, ninatatzo na jinsi ulivyotafsir hiyo list nakuona wanaosema wamesoma vyuo vya ndani hawana maana. Nadhani ukiiangalia list ya top 500 ( sio 50, 500) za dunia utashauri africa tusiwe na elimu kabisa tubaki na uchawi, mpira na kuiga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huo ndiyo ukweli, ndiyo maana mzungu mmoja mwenye bunduki ya gobore alikua anaburuza kijiji kizima, ni issue ya maarifa tu
 
Vp emesahau MOCU moshi mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu huo ndiyo ukweli, ndiyo maana mzungu mmoja mwenye bunduki ya gobore alikua anaburuza kijiji kizima, ni issue ya maarifa tu
Kwahyo mwisho wa siku hata hiyo list uliyoweka hapo ni upuuzi tuu ( kwa uelewa wako) kitu ambacho generally utaniambia kama hujasoma kwenye top 100 au 200 ya dunia basi hujasoma, ambayo hiyo itamaanisha mimi na wewe ni wapuuzi wawili wasioelewa wala kuelimika ( mimi cdhani ). I don't know about you man, ila me nimeelimika na wala sihitaj kutafuta chuo bora nikasome huko, maana ninawafahamu wapuuzi waliosoma nje ya mipaka. ts all about determination and understanding

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usi conclude wakati hauna facts, unajuaje kama mimi sijasoma katika top 10 za dunia, shughulikia changamoto ya vyuo vyako angalau vionekane kwenye top 10 ya afrika.
 
Usi conclude wakati hauna facts, unajuaje kama mimi sijasoma katika top 10 za dunia, shughulikia changamoto ya vyuo vyako angalau vionekane kwenye top 10 ya afrika.
Ucngekua mpuuzi kiasi hicho kama ungekua umesoma hivyo vyuo. Me sihangaikii chuo changu kiwe bora africa wala mtaani kwetu nahangaikia mimi niwe bora leo kuliko nilivyokua jana hatakama ntasoma chuo cha msakatongee, maana ubora wa chuo hauna maana kwangu kama mimi nitatoka na upuuzi nilioingianao ( ambao naamini wewe bado unao).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi udsm ikiwa top ten ya africa then what (kwangu mimi personally)...!!!?? Au lengo lako ilikua kuhakikisha tunajua kua hujasoma tanzania (nahic nimeanza kukuelewa)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…