Uloi nga Machi
Member
- Jan 4, 2012
- 61
- 23
Mzumbe je? Ni ya ngapi kwa Ubora? Na Muhimbili vipi? Haurbert Kairuki!!!
Hata kwenye 100 Bora haipo hiyo MZUMBE unayoita UNIVERSITY wakati ni INSTITUTE.Katika 100 bora Afrika ni UDSM na HUBERT KAIRUKI pekee. Upo hapo?
itakuwa mkuu unakurupuka kama HKMU na MU ni institute kwanini wanaziita university mpaka hapo inaonesha hujui unachoandika yaani unaandika university halafu hapo hapo unaiita institute aisee kweli elimu bongo ni janga la taifa..
itakuwa mkuu unakurupuka kama HKMU na MU ni institute kwanini wanaziita university mpaka hapo inaonesha hujui unachoandika yaani unaandika university halafu hapo hapo unaiita institute aisee kweli elimu bongo ni janga la taifa..
hii kitu kwenye red ndio 'the power of determination' au!???Mabibi na Mabwana,
Sina shaka mnazo taarifa kwamba mwaka 2012 katika Orodha ya Ubora wa Vyuo Africa Nchi yetu ina Vyuo viwili tu ambavyo ni The Giant and Prestigous University( University of Dar es Salaam) nafasi ya 11 na Hubert Kairuki Memorial University nafasi ya 49.
Ukweli ni kwamba hizi INSTITUTES zilizopakwa rangi kuwa "universities" hazimo. Hii inadhihirisha kwamba bado kuna kazi ya kuboresha Elimu Tanzania siyo kwa kuongeza tu Idadi bali kiwango cha Ubora wa Elimu itolewayo.
Kiko wapi kiburi chao wale wanaodhani kwamba Institutes zao no bora na kudharau UDSM ambayo kwanza walikosa sifa za kujiunga wakakimbilia huko?
muwamba ngozi huvutia kwake....sasa hpa UDSM kuna tofauti gan na vyuo vingine? kuwa wakwanza ku strike for loan may be.....hayuangalii ubora wa elimu kwa kuangalia report tunaangalia product inayotoka chuon...jee ukiweka mtu katoka hizo unaita institute na wa udsm ki utendaji na efficiency si wako sawa???kuwa chuo bora its nothing what we are looking for is what you have in your head.....na kumbuka kukaa karibu na warid si kwamba na wewe utanukia marashi.
hiyo udsm hata ingekuwa ya kwanza kidunia, tukiingia mtaani wote tunakuwa sawa tu na kutembea na vyeti mpaka tuchoke. cha msingi hapa tuhangaike na maisha yetu. kungekuwa na kipaumbele katika kupewa ajira kwa waliomaliza udsm hapo ningekubali. siku si nyingi udom mtatusikia kwenye bomba
Ubora unaoongelewa hapa, ni ubora wa elimu, mitaala, majengo, mazingira ama ni nini?
Pengine inawezekana ikawa ni ubora wa sura za wanafunzi wa kike na kiume.
kwann unasema udom tutawasikia kwny bomba? Kwasababu mna majengo mengi au?
| |
[h=3]Welcome to Top 100 Universities in Africa Section. Here you will find Top 100 Universities in Africa 2012, List of Best 10, 20, 50 African Universities for MBA, Engineering, Medical. Top 100 Universities in Africa 2012:- 1. University of Cape Town, South Africa 2. Universiteit Stellenbosch, South Africa 3. Cairo University, Egypt 4. University of Pretoria, South Africa 5. University of the Witwatersrand, South Africa 6. University of KwaZulu-Natal, South Africa 7. University of South Africa, South Africa 8. University of the Western Cape, South Africa 9. Rhodes University, South Africa 10. The American University in Cairo, Egypt 11. University of Nairobi, Kenya 12. Makerere University, Uganda 13. Mansoura University, Egypt 14. Polytechnic of Namibia, Namibia 15. University of Dar es Salaam, Tanzania 16. University of Ghana, Ghana 17. University of Botswana, Botswana 18. University of Johannesburg, South Africa 19. Université de la Reunion, Reunion 20. Ain Shams University, Egypt 21. Université Cadi Ayyad, Morocco 22. University of Khartoum, Sudan 23. Cape Peninsula University of Technology, South Africa 24. Al Akhawayn University, Morocco 25. Université Cheikh Anta Diop, Senegal 26. University of Mauritius, Mauritius 27. Universidade Eduardo Mondlane, Mozambique 28. Helwan University, Egypt 29. Kwame Nkrumah University of Science and Technology, Ghana 30. University of Ibadan, Nigeria 31. Addis Ababa University, Ethiopia 32. University of Benin, Nigeria 33. Assiut University. Egypt 34. University of Namibia, Namibia 35. Mogadishu University, Somalia 36. University of Zimbabwe, Zimbabwe 37. University of Zambia, Zambia 38. University of Lagos, Nigeria 39. Presbyterian University College, Ghana 40. University of Ilorin, Nigeria 41. Nelson Mandela Metropolitan University, South Africa 42. The Hubert Kairuki Memorial University, Tanzania 43. Obafemi Awolowo University, Nigeria 44. North-West University, South Africa 45. Université des Sciences et de la Technologie Houari Boumediène, Algeria 46. Ahmadu Bello University, Nigeria 47. Université Mentouri de Constantine, Algeria 48. Strathmore University, Kenya 49. Zagazig University, Egypt 50. Universiteit van die Vrystaat, South Africa 51. The German University in Cairo, Egypt 52. Sudan University of Science and Technology, Sudan 53. Tshwane University of Technology, South Africa 54. Kenyatta University, Kenya 55. Université d'Alger, Algeria 56. Université Abou Bekr Belkaid Tlemcen, Algeria 57. Al Azhar University, Egypt 58. Tanta University, Egypt 59. University of Jos, Nigeria 60. Université Abdelmalek Essadi, Morocco 61. Université de Batna, Algeria 62. Université Mohammed V - Souissi, Morocco 63. Université Abdelhamid Ibn Badis Mostaganem, Algeria 64. Université Djillali Liabes, Algeria 65. Minoufiya University, Egypt 66. Université Hassiba Ben Bouali de Chlef, Algeria 67. Université Sidi Mohamed Ben Abdellah, Morocco 68. MISR University for Science and Technology, Egypt 69. Moi University, Kenya 70. Université Saad Dahlab Blida, Algeria 71. United States International University, Kenya 72. Université d'Oran, Algeria 73. University of Port Harcourt, Nigeria 74. National University of Rwanda, Rwanda 75. South Valley University, Egypt 76. Université M'hamed Bouguerra de Boumerdes, Algeria 77. Université Mohammed V - Agdal, Morocco 78. University of Fort Hare, South Africa 79. Durban University of Technology, South Africa 80. Jomo Kenyatta University of Agriculture and Technology, Kenya 81. Université de Nouakchott, Mauritania 82. Central University of Technology, South Africa 83. University of Limpopo, South Africa 84. Université Badji Mokhtar de Annaba, Algeria 85. University of Zululand, South Africa 86. Mauritius Institute of Education, Mauritius 87. Jimma University, Ethiopia 88. Université de Ouagadougou, Burkina Faso 89. École Nationale Supérieure en Informatique, Algeria 90. Minia University, Egypt 91. Université Mouloud Maameri de Tizi Ouzou, Algeria 92. Université Amar Telidji Laghouat, Algeria 93. Université Hassan II - Mohammedia, Morocco 94. October 6 University, Egypt 95. Université Hassan 1er, Morocco 96. École du Patrimoine Africain, Benin 97. Université Gaston Berger, Senegal 98. Université des Sciences et de la Technologie d'Oran, Algeria 99. Egerton University, Kenya 100. Université d'Antananarivo, Madagascar Haya Mzumbe na wale wengine wako wapi tena? [/h] |