Nataka kujua prosess ya kutuma fees chuo huko india njia zake unafanyaje na kupitia benk ipi pls. Mwenye kujua anaeleweshe
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Nataka kujua prosess ya kutuma fees chuo huko india njia zake unafanyaje na kupitia benk ipi pls. Mwenye kujua anaeleweshe
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanao kama alienda mwenyewe Kila kitu Kiko kwenye joining instructions aliyopewa Kama alipitia kwa wakala wakala ndie anajua .Kama unalipa kupitia wakala Ni lazima uendelee huko ili alipwe commission yake ukilipa moja kwa moja utamnyima riziki ya commission mtanzania mwenzetu sababu kiendacho kwa mganga hakirudi.Nataka kujua prosess ya kutuma fees chuo huko india njia zake unafanyaje na kupitia benk ipi pls. Mwenye kujua anaeleweshe
Sent using Jamii Forums mobile app