Moshi Cooperative University pia haipoVyuo vya biashara TIA IFM IAA NA CBE hongereni kwa kutokua kwenye list
Unatoa taarifa kama shilawadu....na kcmc nao watasemaje?Tukisema udsm ilikuwa ya zamani huwa tunamaanisha. Sasa TCU wameanza kuimulika na kuona madudu yaliyopo. kwa Mara ya kwanza katika historia ya dunia, chuo hiki hakitaweza kudahili wanafunzi katika baadhi ya kozi. hii no kutokana na kukosa sofa za kudahili.
Endapo TCU wakiendelea kufanya ukaguzi kwenye chuo hiki tutegemee kozi nyingi zitafutwa na huenda ikafika hatua chuo kikafungwa kabisa.
Huu ni ujumbe Wa tcu kwa vijana wanaotarajia kutuma maombi
Unatoa taarifa kama shilawadu....na kcmc nao watasemaje?
Tukisema udsm ilikuwa ya zamani huwa tunamaanisha. Sasa TCU wameanza kuimulika na kuona madudu yaliyopo. kwa Mara ya kwanza katika historia ya dunia, chuo hiki hakitaweza kudahili wanafunzi katika baadhi ya kozi. hii no kutokana na kukosa sofa za kudahili.
Endapo TCU wakiendelea kufanya ukaguzi kwenye chuo hiki tutegemee kozi nyingi zitafutwa na huenda ikafika hatua chuo kikafungwa kabisa.
Huu ni ujumbe Wa tcu kwa vijana wanaotarajia kutuma maombi
Mkuu embu fafanua kidogo hapa.Tukisema udsm ilikuwa ya zamani huwa tunamaanisha. Sasa TCU wameanza kuimulika na kuona madudu yaliyopo. kwa Mara ya kwanza katika historia ya dunia, chuo hiki hakitaweza kudahili wanafunzi katika baadhi ya kozi. hii no kutokana na kukosa sofa za kudahili.
Endapo TCU wakiendelea kufanya ukaguzi kwenye chuo hiki tutegemee kozi nyingi zitafutwa na huenda ikafika hatua chuo kikafungwa kabisa.
Huu ni ujumbe Wa tcu kwa vijana wanaotarajia kutuma maombi
Bila shaka hujasoma udsm, na unawaonea wivu udsm ex students. Iko hivi, Magufuli alikataa udsm kudahili wanafunzi wa medicine na kozi yoyote ya afya kwa kuwa kuna MUHAS na sasa kuna MLOGANZALA.Tukisema udsm ilikuwa ya zamani huwa tunamaanisha. Sasa TCU wameanza kuimulika na kuona madudu yaliyopo. kwa Mara ya kwanza katika historia ya dunia, chuo hiki hakitaweza kudahili wanafunzi katika baadhi ya kozi. hii no kutokana na kukosa sofa za kudahili.
Endapo TCU wakiendelea kufanya ukaguzi kwenye chuo hiki tutegemee kozi nyingi zitafutwa na huenda ikafika hatua chuo kikafungwa kabisa.
Huu ni ujumbe Wa tcu kwa vijana wanaotarajia kutuma maombi
Simple sababu hawakuweza kusoma UDSM,hivyo wakaona UDSM imewabagua.
hiyo ni level mpya ya elimu mkuu......., ipo Tanzania???Kiu nao matapeli wanawasomesha watu fegree ya doctor of medicine wakati hawana sifa hata kidogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha dah hatari snSio kwamba hazina sifa.. thats a polite way kukuambia kuwa kozi hizo hazina ajira usisome.
Mtu ana digrii ya fine arts and perfoming hajawahi toa hata wimbo wa ubeti mmoja wakati Diamond wa darasa la saba anaikniza Dunia!
Acha kuongea kishabiki,naomba hata ambao hatukufanikiwa kufika UDSM tusikiongelee chuo hiki kwa chuki za wivu.
Kozi iliositishwa ni ya Udaktari wa binadamu.Kikubwa katka hio ilikua ni ushauri wa Mhe Rais,kwa nn tuwe na MD udsm wakati MUHAS ipo na tena inaendelea na ujenzi wa Chuo kikubwa kabisa cha Afya Mloganzila.Hivo aliagiza Mloganzila ikifunguliwa wanafunzi walioko pale wahamishiwe Mloganzila na TCU isipeleke pale wanafunzi wa MD tena.
Sasa kama hulijui jambo usilishabikie.Hivyo vyuo vingne hasa vya private ni halali yao kufungiwa.Mana vimekaa kibiashara zaidi bila kuangalia ubora wa elimu wanayoitoa.
UDSM itaendelea kua tu UDSM kwa ubora wa elimu.Hakuna UDSM ya zamani au ya leo.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka hujasoma udsm, na unawaonea wivu udsm ex students. Iko hivi, Magufuli alikataa udsm kudahili wanafunzi wa medicine na kozi yoyote ya afya kwa kuwa kuna MUHAS na sasa kuna MLOGANZALA.
Hivyo kwa kuwa vyote ni vya serikali,Magufuri alielekeza wanafunzi wote wa udsm waende huko