rechungura1
JF-Expert Member
- Jan 19, 2015
- 376
- 125
Habari wanajf vyuo gani bado vinatoa admission kwa kozi za afya namaanisha vyou vizuri vya private sio vyuo vya kata
thanks in advance
thanks in advance
kama excellent collegeVya kata ndo vp
Vyuo vya kataHabari wanajf vyuo gani bado vinatoa admission kwa kozi za afya namaanisha vyou vizuri vya private sio vyuo vya kata
thanks in advance
vile vyuo ambavyo vimesajiliwa na nacte lakin ukifika chuon unakuta ni magumashi tuVyuo vya kata
thanks mkuu
nigepata vya afya ingekuwa poa