Kama muhitim wa Mtwara COHAS am proud 👏Kama una mpango wa kuomba kusoma pharmacy,omba vyuo vifuatavyo:
1. Muhimbili ( Muhas)
2. Bugando ( Cuhas) cha wakatoliki
3. Bugando ( Mwachas) cha
serikali
4. KSP kipo KCMC Moshi
5. Udom
6. Mtwara Cohas
7. Tabora Cohas
Vyuo vingine go at your own risk!
Utahangaika sana hasa utakapokuja kufanya mitihani ya leseni.Watu wengi wapo mtaani hawana leseni ingawa wamesoma diploma ya pharmacy.
Ukikosa hivyo vyuo ni bora usome kozi nyingine ya afya ama uende VETA utanikumbuka baadae.
Vyuo vingi vya pharmacy vimejaa ubabaishaji na ni miradi ya watu kupiga hela za wajinga ukiwepo wewe unayeomba kusoma chuo kwa sababu kimetangazwa mtandaoni.
Kwa hivyo vyuo hapo hutaona tangazo lao wakijitangaza mtandaoni.Kizuri chajiuza.
Kama muhitim wa Mtwara COHAS am proud 👏
Wakati mwingine zinakuwa stori za Vijiweni tu kama wale wanaoshindana chuo flani bora kuliko kingine wakati unapohudumiwa kwenye maofisi walipo huoni tofauti ya quality.Duh!! Afadhari umenisanua maana kuna dogo nataka nimpeleke maana amepangiwa kozi ya BUSINESS ADMINISTRATION nataka nimuamishe kwenye pharmacy
Akaze matarko haswaa, Pharmacy ukiwa laini itamtesa sana kwa aafya nafikiri ndio kozi inatesa sana wanafunzi sio Diploma wala DegreeDuh!! Afadhari umenisanua maana kuna dogo nataka nimpeleke maana amepangiwa kozi ya BUSINESS ADMINISTRATION nataka nimuamishe kwenye pharmacy
Hizi ni story tu zisizo na ukweli wowote wifi ako alisoma Tandabui na akapass Leseni kwa First Sitting onlyKama una mpango wa kuomba kusoma pharmacy,omba vyuo vifuatavyo:
1. Muhimbili ( Muhas)
2. Bugando ( Cuhas) cha wakatoliki
3. Bugando ( Mwachas) cha
serikali
4. KSP kipo KCMC Moshi
5. Udom
6. Mtwara Cohas
7. Tabora Cohas
Vyuo vingine go at your own risk!
Utahangaika sana hasa utakapokuja kufanya mitihani ya leseni.Watu wengi wapo mtaani hawana leseni ingawa wamesoma diploma ya pharmacy.
Ukikosa hivyo vyuo ni bora usome kozi nyingine ya afya ama uende VETA utanikumbuka baadae.
Vyuo vingi vya pharmacy vimejaa ubabaishaji na ni miradi ya watu kupiga hela za wajinga ukiwepo wewe unayeomba kusoma chuo kwa sababu kimetangazwa mtandaoni.
Kwa hivyo vyuo hapo hutaona tangazo lao wakijitangaza mtandaoni.Kizuri chajiuza.
Vyuo vya serikaki kwa sasa vimebaki Jina tu, hakuna shule kama miaka ya nyuma.Kama una mpango wa kuomba kusoma pharmacy,omba vyuo vifuatavyo:
1. Muhimbili ( Muhas)
2. Bugando ( Cuhas) cha wakatoliki
3. Bugando ( Mwachas) cha
serikali
4. KSP kipo KCMC Moshi
5. Udom
6. Mtwara Cohas
7. Tabora Cohas
Vyuo vingine go at your own risk!
Utahangaika sana hasa utakapokuja kufanya mitihani ya leseni.Watu wengi wapo mtaani hawana leseni ingawa wamesoma diploma ya pharmacy.
Ukikosa hivyo vyuo ni bora usome kozi nyingine ya afya ama uende VETA utanikumbuka baadae.
Vyuo vingi vya pharmacy vimejaa ubabaishaji na ni miradi ya watu kupiga hela za wajinga ukiwepo wewe unayeomba kusoma chuo kwa sababu kimetangazwa mtandaoni.
Kwa hivyo vyuo hapo hutaona tangazo lao wakijitangaza mtandaoni.Kizuri chajiuza.
CUHAS ni namba 1Kama una mpango wa kuomba kusoma pharmacy,omba vyuo vifuatavyo:
1. Muhimbili ( Muhas)
2. Bugando ( Cuhas) cha wakatoliki
3. Bugando ( Mwachas) cha
serikali
4. KSP kipo KCMC Moshi
5. Udom
6. Mtwara Cohas
7. Tabora Cohas
Vyuo vingine go at your own risk!
Utahangaika sana hasa utakapokuja kufanya mitihani ya leseni.Watu wengi wapo mtaani hawana leseni ingawa wamesoma diploma ya pharmacy.
Ukikosa hivyo vyuo ni bora usome kozi nyingine ya afya ama uende VETA utanikumbuka baadae.
Vyuo vingi vya pharmacy vimejaa ubabaishaji na ni miradi ya watu kupiga hela za wajinga ukiwepo wewe unayeomba kusoma chuo kwa sababu kimetangazwa mtandaoni.
Kwa hivyo vyuo hapo hutaona tangazo lao wakijitangaza mtandaoni.Kizuri chajiuza.
Unakiwekaje Tabora cohas wakati hata product haijatoa mtaani?Kama una mpango wa kuomba kusoma pharmacy,omba vyuo vifuatavyo: