Vyuo 10 Bora Tanzania 2019

Labda ana maana ya majengo na maeneo vilipo.
 
Chuo hakikusababishi uwe bora. Juhudi zako
 
Kwanza wanapanga vyuo bora kwa ujumla wake. Hapa wanaangalia mambo mengi mf. Facilities zilizopo, ratio ya walimu na wanafunzi, Quality ya walimu (Phd holders au ni wabangaizaji tu), idadi ya wahitimu wa shahada za juu kila mwaka na muhimu zaidi utafiti na idadi ya machapisho katika peer reviewed journals za kimataifa pamoja na academic books. Hii ni kwa kuangalia chuo kwa ujumla wake.

Wakimaliza hiyo ya jumla wanakuja sasa hiki unachokisema - ubora wa program moja moja. Hata hapa napo vigezo vinafanana fanana. Japo UDSM kinaweza kuwa chuo bora katika ujumla wake lakini hii haina maana kuwa kina program bora zaidi kuliko vyuo vingine. Of course Medicine itakuwa Muhimbili, Kilimo SUA n.k

Mwaka huu kwa mfano MIT nadhani ndiyo chuo nambari wani duniani lakini hawa sana sana ni wazuri kwenye Engineering na mambo ya sayansi. Ukitaka sheria na MBA pengine itabidi uende Harvard. Medicine John Hopkins. Management UCLA...Political Science Berkeley...

Ndivyo ilivyo !!!
 
Ona vigezo walivyotumia
 
Hiz ndo international standards walizotumia
 
Hivyo ndo vigezo
 
Ungesema wawemakini kwenye kuchagua kozi na sio chuo...huwaga tunachagua kozi ndio unaangalia nikasomee chuo gani iweje nitake nikasome logistics alafu unambie mambo ya SUA, UDSM nk.
 
Wapo MD wa UDSM na MD hawa wa MUHAS inategemea unaongea na yupi.
Zamaani tulikuwa MUCHS of UDSM, sifahamu nani alikuja na wazo la MUHAS na sijui tatizo lilikuwa nini hadi kufikia huko.
 
Wapo MD wa UDSM na MD hawa wa MUHAS inategemea unaongea na yupi.
Zamaani tulikuwa MUCHS of UDSM, sifahamu nani alikuja na wazo la MUHAS na sijui tatizo lilikuwa nini hadi kufikia huko.
Kuna thread nilianzisha humu kuwa muhimbili na Ardhi university zirudi UDSM
 
Wapo MD wa UDSM na MD hawa wa MUHAS inategemea unaongea na yupi.
Zamaani tulikuwa MUCHS of UDSM, sifahamu nani alikuja na wazo la MUHAS na sijui tatizo lilikuwa nini hadi kufikia huko.
Zamani MUHAS ilikuwa sehemu ya UD
 
Bado haujanipatia ufumbuzi wa shida yangu mkuu, je haiwezekani kuvigawanya kulingana na kada husika?
.
Haya sasa mfano mimi Mkulima wa SUA nimebisha kuwa UDSM sio chuo bora kuliko SUA utakuwa na hoja za kunipinga?
 
KIU haha!
Kampala International University nimesoma chuo uchwara sana hakuna lolote pale nilisoma one year nikaacha na kujumlisha kutosajiliwa kwa course yangu ndo nikaamua kuquit kbs....
But KIU ni chuo cha wavivu....
Hahahaha.
Kwamba wanafunzi wa KIU ni matoroli hawaendi hadi washikwe nyuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…