Vyumba vya mateso

Hakuna mateso magumu kama waliyopitia mama zetu kutubeba tumboni miezi tisa, haya mengine ni mambo za kawaida tu we utaogopaje kuteswa? Hivi kipengele cha uvumilivu nyie hakiwahusu? Afadhali ufe kuliko kuishi kama mtumwa. Yani mshana na story za kiganga zile bado waogopa kuteswa?
 
Siogopi mateso naogopa mateso ya uonevu
 
Hakuna mateso ya halali yote ni uonevu kumtesa mtu kwa hali yeyote ni uonevu, be strong mzee kipind unateswa si unafanya tahajudi ya kutoka nje ya mwili au huwez apply hapo?
Na kwa wengine wasiojua tahajudi je
 
Yaani wakati nikisoma maelezo yako na kuangalia picha mwili ulikufa ganzi kama ndio Mimi nateswa, taafif mungu atuepushe.
 
Mpaka ameshindwa kuchana mistari mchezo...mchizi ameomba poo ngoma isimame.....I know remember a polite advise from one of my seniors. ..usithubutu kucheza na dola
 
Kuna moja nilishawahi msikia eti south africa wanaitumia, wanakuingiza kwenye chumba kina siafu wamenata kwenye kuta zote za chumba kama kimepakwa rangi ila wametulia tuli!
Issue sasa ukiingizwa humo ndio wanachachamaaa.....
Niliogopa kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…