Vyumba vya mateso vinatisha. Lakini katika dini tunafahamishwa kuwa kutakuwa na mateso zaidi ya hayo na kutakuwa hakuna kufa ni mateso tuuuu. Mfano
Na sema: “Hii ni haki kutoka kwa Rabb wenu. Basi anayetaka aamini, na anayetaka akufuru.” Hakika Sisi Tumewaandalia madhalimu moto ambao kuta zake zitawazunguka. Na wakiomba uokozi watapewa maji kama masazo ya zebaki nyeusi ziliyoyeyushwa yanayobabua nyuso. Ubaya ulioje kinywaji hicho, na uovu ulioje mahali pa kupumzikia.