VYUMBA VYA KULALA VINAPANGISHWA

Jikombe

JF-Expert Member
May 13, 2010
729
742
Vyumba vya kulala vinapangishwa-Sinza nyuma ya Meeda Club / Delina Apartment. Viko vyumba vitatu, kila chumba/unit ina sebule na chumba cha kulala na choo chake. Pango ni kuanzia TSH 200,000-250,000/ kutegemeana na ukubwa wa chumba. Maongezi yaoo

Kwa mawasiliana Zaidi piga: 0715 310 408/0788 310 408.
 
Gharama naona kama kubwa kwa room moja yenye sebule tu na choo cha ndani, at least ingekuwa maximum 200000 kwa chumba kikubwa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom