Vyuma vimebana sana nini?

Vyuma vimebana sana nini?

champline

Senior Member
Joined
Dec 3, 2018
Posts
181
Reaction score
244
Kwema humu ndani.
Jana nimepost thread ya kuuza kiwanja lakini sijapata mrejesho wowote tu sio comments wala nini.Sasa ndio kusema vyuma vimebana sana au watu bado wanausoma mchezo?
Regards.
 
Kusaga amesema kwamba....
Kutoka viewer 1million, wameshuka hadi kufikia laki moja.....
 
na ndio hivyo wengine tunatafuta wateja wa vitu vyetu kama viwanja na biashara nyingine tunazofanya tutatoboa kweli?
 
Back
Top Bottom