kitalembwa
JF-Expert Member
- Jul 12, 2014
- 8,100
- 21,624
Kweli kabisa watu walikua wanatafuta majani yakitoa povu tu wanafulia,hivi sasa wengi baba zao ndio walioangusha mashirika wanawakejeli wabongo kujidai wazalendo!
Awamu ya mwanzo Pesa haikuwa msingi sana maana vitu vingi vilikuwa bure,mfano kuni,MAJI,mboga,mapenzi nk mvua ilikuwa ya kutosha chochote panda nguvu yako tu,tofauti na siku hizi no money no life.watu wanacompare awamu hii na awamu iliyopita
wewe unaturudisha awamu ya kwanza!!!awamu ya vita ya kagera!!!!
yule Mzee alifeli..kavu sanawatu wanacompare awamu hii na awamu iliyopita
wewe unaturudisha awamu ya kwanza!!!awamu ya vita ya kagera!!!!
Na hapo ndipo tulipoanzisha msemo wa bongo jua kali. Tatizo vijana wengi humu walikuwa hawajazaliwa enzi hizo....Enzi za miaka ya 80, hususan mwanzoni hadi katikati...
kumtetea msukuma mwezieUNAtumia nguvu sana 🙄
Factkumtetea msukuma mwezie
fananisha kisomi:Mwaka 1986 hakukuwa na vita na ugawaji ulikuwepo.
Kabisa, eti kwa sababu wao wameteseka wanataka na wengine wapitie maisha kama yao, si maajabu hayaKwa hiyo tuishi maisha ya kijima kisa zamani tulipitia hiyo hali? Binadamu anatakiwa kupiga hatua ya maendeleo kwenda mbele na sio kurudi nyuma.
Kwa hili nakuunga mkono, Hata weekend kama leo Bar zipo full, Jumamosi ndio usiseme watu wanakula bata, Tatizo mafisadi na wezi ndio wanalalamikaSoft mko nyie mnaoosha vyombo na kuwaogesha wazee wa kizungu huko ughaibuni!
Wazungu walimbana. Hakushindwa......Nilikuwa natumwa dukani, kuweka foleni, unaweza kuweka jiwe, au kopo kusubili mgawo wa sulari....na ukipata sukari, unalazimishwa kununua usivyobihitaji kama nyembe, viberiti nk...
"Ama kweli mchonga meno nchi ilimshinda"