Vyote vinga’aavyo si dhahabu

Logic behind?
Wanaume wabaya na wanawake wanaonewa! et?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndoa nyingi zina siri sana
Wanawake tujifunze sio kila mwanaume ni baba mwema kwa watoto wako
Lakini wanaume mpoje lakini?
 
...Mambo haya machafu na ya aibu kwenye jamii yetu yapo na yanaendelea.
Ninaifahamu familia moja ambayo Baba alioa mke ambaye aliisha zaa binti mmoja.
Miaka mitatu baadaye Baba anakula Mama na binti take na watu mtaani wanajua hili lakini hakuna anayeinua mdomo kukemea...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…