Wakuu habarini za muda huu nipo zangu natoka Mwanza kuelekea sengerema nmepanda hii MV Mwanza kwakweli usafi wa vyoo sio mzuri hata kidogo na cha ajabu hivi vyoo
naona vipo pembeni na canteen yao hapa juu.Sijui ni kwa namna gani hawa wapishi wanapata hata nguvu za kupika na kuwahudumiwa wateja wake kwenye eneo ambalo choo zinanuka kiasi hichi.Hili jambo inabidi walifanyie kazi kwakweli.