Hebu nenda chooni alafu tupe location yako kama tutakuona.Technologia imekua sana. Kama ukoo chooni au bafuni Satelaiti zinakuona. Hivyo basi Choo na Bafu ambazo hazina paa ziwe na paa.
kama riziki iko njema wasaidie kufunika hivyo vyoo ndugu.Tatizo kubwa sana hili. Mue ninaishi nyumba ya ghorofa moja na master ina balcony ambayo inatazamana na choo cha jirani yangu ambacho hakina paa. Ukikaa kwenye balcony watu hawaendi chooni siku hiyo. Imebidi nisiwe nakaa kwenye balcony kuwapa faragha majirani
Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app