Megawatt B
JF-Expert Member
- Aug 23, 2011
- 259
- 69
Tangu jumamosi kule Zimbabwe na ukanda wa afrika ya kusini habari kubwa ilikuwa birthday ya Mugabe na hasa wito wake wa kumuhenzi Nyerere. Lakini vyombo vyetu vya habari haikuipa uzito habari hii kama ilivyostaili. Ukiangalia vichwa vya habari magazeti yote na TV tangu jumapili na hadi leo ni posho, posho, posho, posho tu za wabunge wale kule Dodoma. Nilitarajia vyombo vyetu kuipa habari hii uzito unaostahili, badala yake, ukisoma magazeti haraka haraka unaweza usione habari hii wasababu imewekwa kama kahabari kasiko na uzito wowote. Kweli nabii akubaliki kwao!
Hongea JF maana mliitupia habari hii na kachangiwa vilivo.
Hongea JF maana mliitupia habari hii na kachangiwa vilivo.